utamjibuje mtoto akikuuliza hivi???

utamjibuje mtoto akikuuliza hivi???

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
natumai hamjambo.

wakuu ikiwa mwanao atakuuliza haya maswali utamjibuje??

#mama ulimpendea nini baba mbona anasura mbaya na wala si type yako?

#baba ulimpendea nini mama mbona hana chura wala si type yako??

tiririkeni kama wazazi na wala si kama mateja.
 
Nitamwambia kwamba kipindi hicho nilikuwa choka mbaya watoto wakali walikuwa wananipitia mwamba wa juu tu na ugumu niliokuwa nao sabuni hazikutosha.
 
Mada yako haija kamilika..ina maswali mengi kabla ya kujibiwa ilo
 
natumai hamjambo.

wakuu ikiwa mwanao atakuuliza haya maswali utamjibuje??

#mama ulimpendea nini baba mbona anasura mbaya na wala si type yako?

#baba ulimpendea nini mama mbona hana chura wala si type yako??

tiririkeni kama wazazi na wala si kama mateja.
Jukwaa gani hili mkuu?
 
Sorry mkuu ila ndio ukweli huu hapa chini[emoji116]
Hebu jaribu kumuuliza hilo swali baba yako au mama yako.

Halafu urudi kwa mwanao na hayo majibu ukitapata kwa wazazi wako.

NB: hapa wengi wanaweza kufikiri nimemkejeli ila kuna majibu ya swali lake kupitia yeye malezi aliyopitia muuliza swali.
 
Haitatokea nikaulizwa hilo swali na mtoto wangu?
 
Mtoto umleavyo ndio akuavyo
natumai hamjambo.

wakuu ikiwa mwanao atakuuliza haya maswali utamjibuje??

#mama ulimpendea nini baba mbona anasura mbaya na wala si type yako?

#baba ulimpendea nini mama mbona hana chura wala si type yako??

tiririkeni kama wazazi na wala si kama mateja.
Mtoto mwenye kuyaona hayo wazazi walisha mess up somwhere.

Vits imebeba Fuso
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

K,K
 
Back
Top Bottom