Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Shule zifunguliwe hizi nyuzi za kipuuz zitokomee.natumai hamjambo.
wakuu ikiwa mwanao atakuuliza haya maswali utamjibuje??
#mama ulimpendea nini baba mbona anasura mbaya na wala si type yako?
#baba ulimpendea nini mama mbona hana chura wala si type yako??
tiririkeni kama wazazi na wala si kama mateja.