Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Tunawaangalia nyuma ya vichwa vyenu tu. Hamjawahi kumiliki visogo na pia mnapenda kuvuta maneno. "Yakheeee! Huu muungano haufaiii" mkiambiwa mtoke hamtaki.1. Kuongea?
2. Kuvaa?
3. Rangi?
Kwa upande wa Zanzibar kuna zanId ambayo mzanzibar anapewa na asiekuwa mzanzibar hapewi
Au waislam ndio watakuwa walengwa?