Utamjua vipi kama huyu mzanzibar upande wa Tanganyika?

1. Kuongea?
2. Kuvaa?
3. Rangi?
Kwa upande wa Zanzibar kuna zanId ambayo mzanzibar anapewa na asiekuwa mzanzibar hapewi
Au waislam ndio watakuwa walengwa?
Tunawaangalia nyuma ya vichwa vyenu tu. Hamjawahi kumiliki visogo na pia mnapenda kuvuta maneno. "Yakheeee! Huu muungano haufaiii" mkiambiwa mtoke hamtaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…