Utamkumbuka Benard Membe kwa lipi?

I so much respect him. Yapo mengi ya kujivunia juu yake.
Watu munalala, munaamka, munaenda kokote kwa muda wowote bila hofu hamjui kama kuna watu wanakesha kwaajili yenu ili nchi tu iwe salama.
 
Alifanaya ujasusi gani
 
Alipinga udikteta wa KIONGOZI asiyefaa na alishinda kesi dhidi ya wapumbafu waliomchafua bila ushahidi
 
Kukataa uonevu,Membe ni kama Kipanga aliyempiga mkoloni,ashukururiwe kwa kumwadibisha Magufuri.
 
Kwa ujumla alikuwa ni kiongozi anayejitambua,mzalendo,mkweli mchapakazi ,mwadilifu,mwaminifu ,mwenye hekima na Wala hakuwa muoga pindi anapopitia magumu.nakumbuka Kuna siku alisema (ni heri nife nikiwa nimesimama kuliko kuishi nikiwa nimepiga magoti).mwisho wa kunukuu.
 
Kwa kuwa na maadui 11 watajaihama nchi
 
Huo ndiyo ushujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…