Akiwa Waziri Mkuu, Kumkemea na kutaka kumfukuza kazi DC wa Kigoma mjini , John Mongela ambaye Sasa ni mkuu wa Mkoa wa Arusha.Habari Wadau,
Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa
Soma: Breaking News: - Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia
Katika mwaka enzi za uhai wake Mzee alipata kuwa na ushawishi Mkubwa nchini kiwango cha kuweza kujaza mikutano katika Uchaguzi wa Urais mwaka 2015.
Binafsi ntamkumbuka sana kwa uthubutu wake wa kuweza kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu alipohusishwa na tuhuma za ufisadi.
Wewe utamkumbuka Lowassa kwa mambo gani?
Intelligent, resilient, exposed na mtu wa kukubali maendeleo regardless ya sehemu aliyopoHabari Wadau,
Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa
Soma: Breaking News: - Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia
Katika mwaka enzi za uhai wake Mzee alipata kuwa na ushawishi Mkubwa nchini kiwango cha kuweza kujaza mikutano katika Uchaguzi wa Urais mwaka 2015.
Binafsi ntamkumbuka sana kwa uthubutu wake wa kuweza kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu alipohusishwa na tuhuma za ufisadi.
Wewe utamkumbuka Lowassa kwa mambo gani?
Nitamkumbuka kwa kujilimbikizia mali zisizo na maelezo ya kutosha.Habari Wadau,