Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninachojua ni kuwa lowassa hakukosa urais. Bali watanzania walikosa rais.
Habari Wadau,
Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa
Soma: Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia
Katika mwaka enzi za uhai wake Mzee alipata kuwa na ushawishi Mkubwa nchini kiwango cha kuweza kujaza mikutano katika Uchaguzi wa Urais mwaka 2015.
Binafsi ntamkumbuka sana kwa uthubutu wake wa kuweza kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu alipohusishwa na tuhuma za ufisadi.
Wewe utamkumbuka Lowassa kwa mambo gani?
Maana ya kustaafu ni nini? 😂Hujui maana ya kustaafu wewe
Kikwete Muungwana sanaTanzanian president Jakaya Kikwete has reshuffled his cabinet after Prime Minister resignation following corruption scandal in which many of government officials received kickback.
-BBC World Service, a day after E.N Lowassa resignation.