Utamkumbuka Samia kwa lipi akitoka madarakani?

Unayo taarifa ya Somalia na rais wao hivi karibuni?

Ni hayo hayo yanamsubiri Samia.

Lakini nisitoke bila kujibu swali. Ulaghai.
Yoote yaliyotokea wakati wake yanaambatana na tabia yake ya kuwa laghai .
Kwa heshima kubwa Bwana Kalamu,naomba utuandukie hayo mambo ya Somalia kwa faida ya wengi.nitashukuru ukini tag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…