Utamkumbuka Samia kwa lipi akitoka madarakani?

Sijatumia neno kustaafu maana ya Mungu mengi,

Rais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti

Je Una lipi la kumkumbuka ?

Britanicca
Huyo amesabanisha wazazi wafikirie mara mbili umuhimu wa kusomesha watoto wa kike!
Pili, sidhani kama nchi itaruhusu tena kuongozwa na mwanamke!
Kiongozi wa ovyo kuwahi kutokea duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…