The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Mtu wa pwani pwani yule maana nasikia uzaramuni wamama walimsema mwizi bila kumgusa mpaka alikata roho.Kuwasema wezi wenzie hadi waone aibu.
atuambie yeye kama lipoHamjaona hata zuri 1 mama?
Mi nitamkumbuka kwa hatua yake ya kudeal na manyumbu kisawasawa.......yaani kwa kutokuwa na mchezo na uchafuzi wa ardhi takatifu ya TanzaniaKuuza Bandari, Mauaji na Utekaji
1: Hakuna nywanywanywa wala nywinyinywi!Sijatumia neno kustaafu maana ya Mungu mengi,
Rais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti
Je Una lipi la kumkumbuka ?
Britanicca
Kuna kesi ya Mbowe pia
Baada ya kung'oka madaraka, vizazi vijavyo itabidi vifanye tafiti...huyu mtu kwa akili yake ndg aliwezaje wezaje kupenya hadi kufikia madaraka makubwa yakiwamo ya urais....how come?!.Mi nitamkumbuka kwa hatua yake ya kudeal na manyumbu kisawasawa.......yaani kwa kutokuwa na mchezo na uchafuzi wa ardhi takatifu ya Tanzania
Mauaji ya Oct 29.Sijatumia neno kustaafu maana ya Mungu mengi,
Rais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti
Je Una lipi la kumkumbuka ?
Britanicca
😂 Una uhakika?Mwanamke wa kwanza kuua watu wengi kwa mara moja hapa duniani.
Cc tupo kusoma2 kila mtu atahukumiwa kwa post yake 😂Hizi thread hizi... kuna namna
kwamba 360⁰ hazitofika ?Sijatumia neno kustaafu maana ya Mungu mengi,
Rais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti
Je Una lipi la kumkumbuka ?
Britanicca