Utamsaidiaje binti huyu?

Utamsaidiaje binti huyu?

Wazaromo wangekuwa na washauri wazuri,wangekuwa ndio matajiri wa jiji leo kwa kumiliki majengo yote mazuri unayoyaona hapa mjini ila ndio hivo ardhi waliuza na hela wakachezea ngoma,wakaongezea wake.mleta mada usivunjike moyo ngoja washauri waje wakushauri

Aisee walikuambia wana haja na magorofa na ardhi? Wanyime ngoma na wake wengi ndo utakuwa umewakomesha!
 
[QU OTE=Mbwa;8856857]Hi guys,kuna binti mmoja anaitwa JENNY,ni mwanafunzi 1st year sua-anasomea Bsc.FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY ENGINEERING,kaniomba ushauri nikasema nitaweka humu kwa ma great thinkers ili watoe maoni na ushauri wao,"stori yake ipo hivi,hana wazazi na ndugu zake hawana uwezo wa kumsomesha kwani tangu aende chuo october mwaka jana hajawahi ku2miwa hata tsh.1 kutoka kwao,lakini alibahatika kupata sponsorship kutoka wizara inayohusika na chakula,alipata fedha ya kwanza 650,000,hakujua ilivyoisha ,akapata ya pili 630,000,nayo imekwisha kwani aliwatumia wadogo zake fedha ya matumizi na nyumbani pia.,SASA KAPEWA Tsh.700000 kwa semiester itakayoanza 17th march,ANAULIZA NA KUOMBA USHAURI NI BIASHARA GANI AFANYE ILI HIYO FEDHA IINGIE KWENYE MZUNGUKO?,PILI AFANYE NINI ILI HIYO FEDHA AITUMIE VIZURI(yaani imletee faida)?..TUNAOMBA USHAURI.[/QUOTE]

Asome kwa bidii aachane na matumizi mabaya ya fedha za masomo shule ina muda wake ukishapita atakuja jutia, ana nafasi ya kusaidia vizuri ndugu zake na Jamii yake akimaliza masomo vyema.
 
pia anaweza jaribu kuuza nguo za ndani kama chupi,boxer na vingine kama leso,sabuni za kuogea, soksi kikubwa ni kujitangaza kwa wanafunzi atazimake tu
 
mwambie hakuna biashara nzuri na yenye faida hapa mjini kama kuuza mwili wake kwa mapedeshee...muhimu haitumie hiyo laki 7 kwa kununua pamba kali na kujipoga sop sop lazima ajipatie mapeshee kwa bei ya faida ya kutosha kabisa

acha umburura, wengine wapo serious.
 
acha umburura, wengine wapo serious.

Afu anajibu kama yupo kilabuni sio lazima mtu utoe comment wakati huna mawazo ya kueleweka lol poor mzaramo, sometimes kukaa kimya ni busara.
 
Afu anajibu kama yupo kilabuni sio lazima mtu utoe comment wakati huna mawazo ya kueleweka lol poor mzaramo, sometimes kukaa kimya ni busara.

Kuna wakati mods wanatakiwa watoe free days za kumtukana mtu
 
mwambie hakuna biashara nzuri na yenye faida hapa mjini kama kuuza mwili wake kwa mapedeshee...muhimu haitumie hiyo laki 7 kwa kununua pamba kali na kujipoga sop sop lazima ajipatie mapeshee kwa bei ya faida ya kutosha kabisa
ndio maana huwa nawalaani waliokabidhi nchi kwa wazaramo! Wao kila kitu ni poa tu ,mafiga matatu poa ,umasikini,ngoma ,kucheza wali + rubish!
 
mwambie hakuna biashara nzuri na yenye faida hapa mjini kama kuuza mwili wake kwa mapedeshee...muhimu haitumie hiyo laki 7 kwa kununua pamba kali na kujipoga sop sop lazima ajipatie mapeshee kwa bei ya faida ya kutosha kabisa

Kwani kuna ulazima wa kucoment? majukwaa mengine siyo ya utani!
 
Aanzishe biashara ya nguo na viatu za akina dada taratibu.
 
Naendelea kusoma ushauri wa watu then mwisho wake nitaona nifanye nini.
 
Bangi ingekuwa hivyo Wkurya tusingeongoza kusoma ,huu ni Uzaramo tuu Bangi haiwafanyi watu kuwa Wapu.... bana 1
basi itakua ni unga anatumia,tena low standard!GOD forbd! Khaa huyu mzaramo hatar! Anadhalilisha kabla lake!
 
Mimi ningemshauri kwamba!
1. Awe mwangalifu na matumizi, kwa kuwa anajifahamu alikotoka na hana msaada wowote basi matumizi yasiyo na umuhimu ayakwepe.
2. Nyakati anazopata likizo azitumie kujitafutia kazi za muda, ajishikize kupata kipato kidogo cha kujikimu akiwa chuoni
3.Biasahara kwake haimfai kwa kuwa yuko masomoni, huwezi kuanza kufanya biashara, concentration itakwaisha, atafeli! Bora ahakikishe mind yake iko 100% kwenye masomo...akianza biashara atafeli na hiyo biashara inaweza isimuinue! NO guarantee!

Kama atakuwa Dar es Salaam End of June atutembelee, tunaweza kuwauliza marafiki kadhaa wanaofanya kazi za HR kuona kama wanaweza kum-link up na temporary jobs kila anapokuwa likizo!
 
Back
Top Bottom