Utamshauri nini kijana aliyepata kazi leo kwenye wimbi hili la ufinyu wa ajira?

Utamshauri nini kijana aliyepata kazi leo kwenye wimbi hili la ufinyu wa ajira?

BWANA WANGU

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
337
Reaction score
797
Kwako mdau,
Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, kutokana na Wimbi kuongezeka la vijana wengi kukosa ajira/kazi. Ni ushauri gani utampa mtu aliye pata ajira leo.

Ushauri uwe ume base kwenye eneo la kazi, kiuchumi na kijamii.
 
Utumishi au ajira zilikuwa zamani...

Nowdays kuajiriwa siyo kitu...

Ndiyo maana wanaoporomosha majumba mitaani ni watu wenye shughuli za kawaida...

Nowdays pesa iko mtaani, haiko tena huko kwenye ajira..
 
Sikupingi, ni kweli kabisa.
 
Utumishi au ajira zilikuwa zamani...

Nowdays kuajiriwa siyo kitu...

Ndiyo maana wanaoporomosha majumba mitaani ni watu wenye shughuli za kawaida...

Nowdays pesa iko mtaani, haiko tena huko kwenye ajira..
Endelea kujidanganya mkuu
 
1. Akope kwa akili sio anakopa anaenda kununua subaru

2. Asisahau kusave sio unakuwa mtumishi alafu huna hata akiba hiyo ni mbaya

3. Uaminifu na uchapakazi ndio msingi katika ajira

4. Epuka sana majungu

5. Epuka mapenzi katika eneo la kazi

6. Muamini sana Mungu fanya kazi yako impendeze Mungu sio ufanye kazi ili wenzako waonekane hawajui

7. Kubali kukosolewa take it easy usijifanye mr perfection

8. Heshimu uliyowakuta kazini

9. Unapopata changamoto omba ushauri

10. Weka malengo fanya bidii kufikia malengo yako usifuate mkumbo

11. Ni bora kujifanya kwenu ni mafukara kuliko kuleta ushua hii inasaidia watu kukuunderestimate na kuwa wawazi kwako katika mishe zao (punguza mashauzi)
 
K
Utumishi au ajira zilikuwa zamani...

Nowdays kuajiriwa siyo kitu...

Ndiyo maana wanaoporomosha majumba mitaani ni watu wenye shughuli za kawaida...

Nowdays pesa iko mtaani, haiko tena huko kwenye ajira..
Hali ya mtaani ni ngumu sana sio rahisi unavyoona wewe pesa imekuwa ngumu sana kuipata
 
1. Akope kwa akili sio anakopa anaenda kununua subaru

2. Asisahau kusave sio unakuwa mtumishi alafu huna hata akiba hiyo ni mbaya

3. Uaminifu na uchapakazi ndio msingi katika ajira

4. Epuka sana majungu

5. Epuka mapenzi katika eneo la kazi

6. Muamini sana Mungu fanya kazi yako impendeze Mungu sio ufanye kazi ili wenzako waonekane hawajui

7. Kubali kukosolewa take it easy usijifanye mr perfection

8. Heshimu uliyowakuta kazini

9. Unapopata changamoto omba ushauri

10. Weka malengo fanya bidii kufikia malengo yako usifuate mkumbo

11. Ni bora kujifanya kwenu ni mafukara kuliko kuleta ushua hii inasaidia watu kukuunderestimate na kuwa wawazi kwako katika mishe zao (punguza mashauzi)
Fafanua namba 6 na 8
 
Aisee all I can say is, the moment umeingia kwenye ajira anza kujiandaa na retirement plan. Jua utakuja kufanya nini siku ukistaafu. Usisubiri pensheni ikuokoe lolote linaweza kutokea hapo kati kati. Hutaisikia hii kauli kwa watu wengi. Thank me later.
 
Afanye sala za kutosha
Afanye kazi zake
Aachane na mambo yasiyomhusu (asiwe na shobo)
Kuongeaongea ovyo asiwe
Mapenzi kazini aepuke
Ashiriki mambo ya kijamii mf.misiba,sherehe.
 
Fafanua namba 6 na 8
6. Fanya kazi kwa sababu ni jukumu lako usifanye kazi iliuonekane kwa lugha nyengine lengo la kufanya kazi lisiwe ili uonekane bali kuwa na intention nzuri mfano labda kazi iliwashinda watu basi wewe mfuate yule iliyemshinda bila kujionyesha kwa watu muonyeshe jinsi ya kufanya.

8. Heshimu uliyowakuta kazini hata kama kuna vitu hawajui just respect them kubali wakikupa kazi au kukutuma watakupenda sana na milango yako mingi itafunguka pata picha wewe ni mkongwe ofisi flani alafu kijamaa kina pata kazi unakiona alafu kinaleta ujuaji utafurahi?
 
Back
Top Bottom