BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 337
- 797
😆😆😆anipe tu namimi connection
Binti umeamka mpaka sasa hujamjulia hali babu yako?😊anipe tu namimi connection
Sikupingi, ni kweli kabisa.Utumishi au ajira zilikuwa zamani...
Nowdays kuajiriwa siyo kitu...
Ndiyo maana wanaoporomosha majumba mitaani ni watu wenye shughuli za kawaida...
Nowdays pesa iko mtaani, haiko tena huko kwenye ajira..
Hii kubwa sana mkuu, inabidi apambane vya kutosha.Aitumie vizuri nafasi aliyonayo Kwa kifupi awe invisible mafia katika kusaka hela.
shkamoo mzee kuna kijana kanivuruga babu😂😂Binti umeamka mpaka sasa hujamjulia hali babu yako?😊
Nowdays mnavurugana sana sijui kwa nnshkamoo mzee kuna kijana kanivuruga babu😂😂
Kwan we umeelewa kijana gani😂😂😂babuuuuuuNowdays mnavurugana sana sijui kwa nn
Endelea kujidanganya mkuuUtumishi au ajira zilikuwa zamani...
Nowdays kuajiriwa siyo kitu...
Ndiyo maana wanaoporomosha majumba mitaani ni watu wenye shughuli za kawaida...
Nowdays pesa iko mtaani, haiko tena huko kwenye ajira..
Hali ya mtaani ni ngumu sana sio rahisi unavyoona wewe pesa imekuwa ngumu sana kuipataUtumishi au ajira zilikuwa zamani...
Nowdays kuajiriwa siyo kitu...
Ndiyo maana wanaoporomosha majumba mitaani ni watu wenye shughuli za kawaida...
Nowdays pesa iko mtaani, haiko tena huko kwenye ajira..
Fafanua namba 6 na 81. Akope kwa akili sio anakopa anaenda kununua subaru
2. Asisahau kusave sio unakuwa mtumishi alafu huna hata akiba hiyo ni mbaya
3. Uaminifu na uchapakazi ndio msingi katika ajira
4. Epuka sana majungu
5. Epuka mapenzi katika eneo la kazi
6. Muamini sana Mungu fanya kazi yako impendeze Mungu sio ufanye kazi ili wenzako waonekane hawajui
7. Kubali kukosolewa take it easy usijifanye mr perfection
8. Heshimu uliyowakuta kazini
9. Unapopata changamoto omba ushauri
10. Weka malengo fanya bidii kufikia malengo yako usifuate mkumbo
11. Ni bora kujifanya kwenu ni mafukara kuliko kuleta ushua hii inasaidia watu kukuunderestimate na kuwa wawazi kwako katika mishe zao (punguza mashauzi)
6. Fanya kazi kwa sababu ni jukumu lako usifanye kazi iliuonekane kwa lugha nyengine lengo la kufanya kazi lisiwe ili uonekane bali kuwa na intention nzuri mfano labda kazi iliwashinda watu basi wewe mfuate yule iliyemshinda bila kujionyesha kwa watu muonyeshe jinsi ya kufanya.Fafanua namba 6 na 8