Utamshauri nini kijana mwenyewe umri wa miaka 20-35

Utamshauri nini kijana mwenyewe umri wa miaka 20-35

Anyway sex ni kitu kibaya mno, utamfanya style zote, utamwagisha hydroxo lakini mwisho wa siku hakuna chochote unachofaidi

Magonjwa na negative energy, kufirisika na kuharibu heshima yako

Kwa hio akae mbali na sex holela
 
Punguza matumizi
Ishi chini ya uwezo wako. Tumia sheria ya 50% (mahitaji), 30% (starehe), na 20% (akiba/uwekezaji).

Jenga mfuko wa dharura
Weka akiba ya pesa inayoweza kukutunza miezi 3 hadi 6 usiguse kabisa.

Ongeza vyanzo vya mapato. Usitegemee mshahara au biashara moja tu. Jifunze ujuzi wa kidijitali au anza biashara ya pembeni (side hustle).

Epuka miradi inayofanya uwe tajiri haraka (upatu, crypto feki). Hakuna pesa ya urahisi.
 
Back
Top Bottom