Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
yaaah!I LOVE THE LADY aiseendio yule mwenye mwanya?....unajua kosa linalifanyikaga kwenye mapenzi ni kutaka ishu iliyo juu, i mean kama mwanamke awe na mtu mwenye pesa, papaa fulani hivi town, na wanaume ndio wachukue hao mabinti wenye majina ndio mambo yanakuwaga mseto mseto hapo, hamuwezi kwenda sambamba kabisa, kila mmoja anajiona yupo juu....kuna wadada/wakaka wapo descent sana sema ndio wanaonekana walokole fulani hivi na nyie mnawataka hao mabinti mcheruko, mtawezea wapi?...mambo yatakuwa vululu tu.
sijui kapotelea wapi.....