Utamshobokea yupi kati ya hawa?

Utamshobokea yupi kati ya hawa?

hehehe!
wala asikutishe.......

Hahaha! Anitishe? Thubutu! Hiki kichwa mwenyewe anakijua adabu yake. Kinaachia mambo ya heshima kwenye makaratasi na kwenye praktiko!
 
mtoto anasomea mambo ya kawaida,ili awe bize na wewe!
anasomea vitu vya T.I.A,au I.F.M au C.B.E mambo easy yan!....

sio dem anakamua msuli hadi anatoboa ozone layer...!😀
dem anasoma D.I.T si atakuua kwa mawazo???

Hahahahah naona leo unatafuta kesi humu kwenye forum!
 
kwangu mm, ni lazima mwanamke awe na hivi au mchanganyiko wake au kimojawapo
1) awe smart - intelligent
2) awe mzuri (kwa maana ya beholder)
3) awe na pesa

kama hana hata kiojawapo kwangu hana nafasi!! geof mshiki najua amepita kwenye vigezo hivyo!!
ndio maana dini yetu inasema mwanaume aoe wake nane
 
Hahahahah naona leo unatafuta kesi humu kwenye forum!

Nshamwambia muda mrefu, tatizo lake mbishi! Nakumbuka nilikuwa napiga buku chuo na demu mmoja. Wanaume wakamkatia jina la PANGA LA SHABA! Naomba nisiulizwe swali hapa!
 
Hahaha! Anitishe? Thubutu! Hiki kichwa mwenyewe anakijua adabu yake. Kinaachia mambo ya heshima kwenye makaratasi na kwenye praktiko!
heehehehe!
nakukubalui kwenye praktiko
una misonge mingi sana kwenye ile short kooz ya MILA
 
heehehehe!
nakukubalui kwenye praktiko
una misonge mingi sana kwenye ile short kooz ya MILA

Hahaha! Ile ya mila niligradyueti nikiwa na miaka 19. Keni yu imajini Jeny atakuwa na umri gani?
 
nshamwambia muda mrefu, tatizo lake mbishi! Nakumbuka nilikuwa napiga buku chuo na demu mmoja. Wanaume wakamkatia jina la panga la shaba! naomba nisiulizwe swali hapa!
substantiate.........
 
samahani mkuu wangu!
Natania tu.....
hahahaaaaa,
SENKSI maana ningeandamana.
binafsi nimesomea wat they call computer engineering but I DONT LIKE KUJIITA WALA KUITWA ENGINEER,
I DONT LIKE, simple.
 
hahahaaaaa,
SENKSI maana ningeandamana.
binafsi nimesomea wat they call computer engineering but I DONT LIKE KUJIITA WALA KUITWA ENGINEER,
I DONT LIKE, simple.
hehehehe!
ERB wanatambua uwepo wenu?
 
hahahaaaaa,
SENKSI maana ningeandamana.
binafsi nimesomea wat they call computer engineering but I DONT LIKE KUJIITA WALA KUITWA ENGINEER,
I DONT LIKE, simple.
umesomea kutengeneza, au kurepea? au inavyotengenezwa? a laymans' Qn tu mkuu. kwa maana kwa mfano wenzetu wa civil tunaona wanatengeneza nyumba na vitu vinavyofanana na hivyo.
 
hehehehe!
AMEPITA MKUU!

wa kwangu HANA PESA....
hilo la uzuri ni SUBJECTIVE!i mean inategemeana perceptions ya mtu.ingawa ni lazima niwe wazi hawezi kuwa kwenye level za kina silvia bahame,anjela damasi,au miriam odemba...!yupo kawaida

but SHE IS OF MY TYPE........

kuhusu being smart...!she is smart,lakini sijaridhika na kiwango chake.I.Q yake ni normal.

I DN'T LIKE THEM LADIES WITH I.Q KUBWA!dem anakokotoa physics kama golleto SIMTAKI

Geoff usiniambie hupendi IQ kubwa, nadhani ni kwa masilahi ya MILA zaidi... hope huna matatizo na wanasheria!

Annina
 
Geoff usiniambie hupendi IQ kubwa, nadhani ni kwa masilahi ya MILA zaidi... hope huna matatizo na wanasheria!

Annina

Wanasheria wako poa sana! Hata mimi ningependa kuwa na mwanasheria....!!! Though, when it comes to arguments, its very hard to win against her!! 🙂
 
Wanasheria wako poa sana! Hata mimi ningependa kuwa na mwanasheria....!!! Though, when it comes to arguments, its very hard to win against her!! 🙂

hhahaha. mkuu, the best way is toavoid it altogether.... wewe unaenda kwenye pointi tu!
 
Kwangu mm, ni lazima mwanamke awe na hivi au mchanganyiko wake au kimojawapo
1) Awe smart - intelligent
2) Awe mzuri (kwa maana ya beholder)
3) Awe na pesa

kama hana hata kiojawapo kwangu hana nafasi!! Geof mshiki najua amepita kwenye vigezo hivyo!!

........OOhhhhh!! Kumbe na nyie mnapenda wadada wenye pesaaaa..............lol
 
Back
Top Bottom