Utamshobokea yupi kati ya hawa?

yaaah!I LOVE THE LADY aisee
sijui kapotelea wapi.....
 
ma-miss nimewashuhudia weengi sana mazee,lakini SILVIA BAHAME was my character.i mean SHE IS TOTALLY IN MY BLOOD!

na sijui kwanini

I LOVE THE CHICK

Ndio maana tumekubaliana kwamba beuty is in the eyes of the beholder (or beerholder if you like). By the way, she was the ''easiest going'' Miss Tanzania ever!! I mean ungemtafuta ndoto yako ingetimia, maana hakuwa ''mchoyo''! 🙂
 
Nipo dear! kwema kabisa.
vile sikujuaga kama umebadilisha na jina.waitwa BABRA SIKU HIZI! Kweli 2010!
Na mimi nitafutie jina jipya nibatizwe kwa maji mengi.

nimefurahi kukuona dearest......
nakuchagulia...MERCY..LOVENESS..FAITH..pendekeza hapo dear.
 
[/COLOR]

nikikusomaga humu naona vi date vyako vyote vina msukosuko, mnapenda vibinti vya kuuzia navyo sura ndio mana inawa cost, na hapo umeshasema ni visista duu hiyo tosha kukupasua kichwa.....

Great to note that you can easily read between the lines laaziz..........!!! 🙂
 
Ndio maana tumekubaliana kwamba beuty is in the eyes of the beholder (or beerholder if you like). By the way, she was the ''easiest going'' Miss Tanzania ever!! I mean ungemtafuta ndoto yako ingetimia, maana hakuwa ''mchoyo''! 🙂
si kweli,
kama ni kweli kwanin walimuabscond na DISCO akiwa mwaka wa tatu?.....na chanzo ilikuwa ni hilo hilo unalolijadili
 
Mi nataka dem awe kawaida tu
asisomee ma medicine,ma engineering

asomee ARTS,au biashara!i dn't want complications kwenye ndoa.
hahahahaaaaa,
mkuu naona unaanza uchokozi hapo!.
 
Ndio maana tumekubaliana kwamba beuty is in the eyes of the beholder (or beerholder if you like). By the way, she was the ''easiest going'' Miss Tanzania ever!! I mean ungemtafuta ndoto yako ingetimia, maana hakuwa ''mchoyo''! 🙂
jof kasema she love that chick.......and he knows why!!!! labda alishaingizwa kwenye takwimu??? inahitaji maelezo zaidi hapa
 
nimefurahi kukuona dearest......
nakuchagulia...MERCY..LOVENESS..FAITH..pendekeza hapo dear.
Senks! Ngoja niyafanyie kazi mpaka mwisho wa january nitapata zuri zaidi katika hayo matatu.
Am curious! hivi jina lako umebase kwa shades of sin ? mbona mkatili hivyo yule dada hata hufanani naye.au ni nani huyu kakuchagulia hili jina?
 
jof kasema she love that chick.......and he knows why!!!! labda alishaingizwa kwenye takwimu??? inahitaji maelezo zaidi hapa

Yeah, yawezekana yko kwenye takwimu! 🙂
 
si kweli,
kama ni kweli kwanin walimuabscond na DISCO akiwa mwaka wa tatu?.....na chanzo ilikuwa ni hilo hilo unalolijadili

I thought ali-disco kwa sababu ya kuendekeza starehe na ulevi (!?) Just thinking aloud!
 
jof kasema she love that chick.......and he knows why!!!! labda alishaingizwa kwenye takwimu??? inahitaji maelezo zaidi hapa
huyu mimi nilikuwa namuona tu kwa mbali pale mabibo!
kwa muonekano tu SHE LOOKED SO HOT,SO SEXY.....

nilikuwa sioni dem pale zaidi yake
 
heheheheh!
kati kati ya mchezo mchuchu anaanza kushuka DESIGN OF STRUCTURES...

Tehe tehe tehe! Do you mean female engineers are not romantic? And it sounds like you are talking from experience!
 
Senks! Ngoja niyafanyie kazi mpaka mwisho wa january nitapata zuri zaidi katika hayo matatu.
Am curious! hivi jina lako umebase kwa shades of sin ? mbona mkatili hivyo yule dada hata hufanani naye.au ni nani huyu kakuchagulia hili jina?

hapana dear, huwa nalipenda tu na bht nae alinipendekezea pia, nadhani na yeye analipenda tu!
 
I thought ali-disco kwa sababu ya kuendekeza starehe na ulevi (!?) Just thinking aloud!
kuna zengwe pale la maprof,stuka

ndo maana ALISHINDA APPEAL YAKE
 
Tehe tehe tehe! Do you mean female engineers are not romantic? And it sounds like you are talking from experience!
NAH!sijasema hivyo mkuu.....
lakini ndivyo inavyokuwa siku zote....!hahahaha.darasa letu lilikuwa na ma-she wawili tu
 
huyu mimi nilikuwa namuona tu kwa mbali pale mabibo!
kwa muonekano tu SHE LOOKED SO HOT,SO SEXY.....

nilikuwa sioni dem pale zaidi yake
Thibitisha, la sivyo tunapeleka pingamizi ahahahahaaa!
 
NAH!sijasema hivyo mkuu.....
lakini ndivyo inavyokuwa siku zote....!hahahaha.darasa letu lilikuwa na ma-she wawili tu
duh!, asavali umejisahihisha mwenyewe kwa maana ningeandamana sasa hivi, LOL.
 
NAH!sijasema hivyo mkuu.....
lakini ndivyo inavyokuwa
siku zote....!hahahaha.darasa letu lilikuwa na ma-she wawili tu

Kumbe na wewe ni inji? sikujuaga hili!
Kwa maelezo yako wanangu kamwe hawatasoma Engineering.Itabidi wawe Mamodo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…