HAO SAWA!
mimi nazungumzia mainjinia wa kompyuta
siwakubali
hehehe!Kuna mmoja niko naye jirani
Ananitambia kweli
Mi namwangaliaga tu.
hehehe!
wala asikutishe.......
mtoto anasomea mambo ya kawaida,ili awe bize na wewe!
anasomea vitu vya T.I.A,au I.F.M au C.B.E mambo easy yan!....
sio dem anakamua msuli hadi anatoboa ozone layer...!😀
dem anasoma D.I.T si atakuua kwa mawazo???
ndio maana dini yetu inasema mwanaume aoe wake nanekwangu mm, ni lazima mwanamke awe na hivi au mchanganyiko wake au kimojawapo
1) awe smart - intelligent
2) awe mzuri (kwa maana ya beholder)
3) awe na pesa
kama hana hata kiojawapo kwangu hana nafasi!! geof mshiki najua amepita kwenye vigezo hivyo!!
Hahahahah naona leo unatafuta kesi humu kwenye forum!
heehehehe!Hahaha! Anitishe? Thubutu! Hiki kichwa mwenyewe anakijua adabu yake. Kinaachia mambo ya heshima kwenye makaratasi na kwenye praktiko!
heehehehe!
nakukubalui kwenye praktiko
una misonge mingi sana kwenye ile short kooz ya MILA
substantiate.........nshamwambia muda mrefu, tatizo lake mbishi! Nakumbuka nilikuwa napiga buku chuo na demu mmoja. Wanaume wakamkatia jina la panga la shaba! naomba nisiulizwe swali hapa!
NDO MAANAKE!Hapo bado hujadumisha mila
why??hao sawa!
Mimi nazungumzia mainjinia wa kompyuta
siwakubali
samahani mkuu wangu!why??
hahahaaaaa,samahani mkuu wangu!
Natania tu.....
hehehehe!hahahaaaaa,
SENKSI maana ningeandamana.
binafsi nimesomea wat they call computer engineering but I DONT LIKE KUJIITA WALA KUITWA ENGINEER,
I DONT LIKE, simple.
umesomea kutengeneza, au kurepea? au inavyotengenezwa? a laymans' Qn tu mkuu. kwa maana kwa mfano wenzetu wa civil tunaona wanatengeneza nyumba na vitu vinavyofanana na hivyo.hahahaaaaa,
SENKSI maana ningeandamana.
binafsi nimesomea wat they call computer engineering but I DONT LIKE KUJIITA WALA KUITWA ENGINEER,
I DONT LIKE, simple.
hehehehe!
AMEPITA MKUU!
wa kwangu HANA PESA....
hilo la uzuri ni SUBJECTIVE!i mean inategemeana perceptions ya mtu.ingawa ni lazima niwe wazi hawezi kuwa kwenye level za kina silvia bahame,anjela damasi,au miriam odemba...!yupo kawaida
but SHE IS OF MY TYPE........
kuhusu being smart...!she is smart,lakini sijaridhika na kiwango chake.I.Q yake ni normal.
I DN'T LIKE THEM LADIES WITH I.Q KUBWA!dem anakokotoa physics kama golleto SIMTAKI
Geoff usiniambie hupendi IQ kubwa, nadhani ni kwa masilahi ya MILA zaidi... hope huna matatizo na wanasheria!
Annina
Wanasheria wako poa sana! Hata mimi ningependa kuwa na mwanasheria....!!! Though, when it comes to arguments, its very hard to win against her!! 🙂
Kwangu mm, ni lazima mwanamke awe na hivi au mchanganyiko wake au kimojawapo
1) Awe smart - intelligent
2) Awe mzuri (kwa maana ya beholder)
3) Awe na pesa
kama hana hata kiojawapo kwangu hana nafasi!! Geof mshiki najua amepita kwenye vigezo hivyo!!