alba allie
New Member
- Aug 30, 2022
- 4
- 3
Marijan RajaabUna Safari ya takriban saa 10, ni Msanii gani utamsikiliza mwanzo hadi mwisho wa Safari?
Mimi nitamskiliza Nicki Minaj non stop. Am her biggest fan
Country music babyKenny Rogers & J Cash
Dah Ile Ngoma yake ya PLEASE naweza isikiliza mwaka mzima non stopToni Braxton
Ule wimbo wake wa as long as I live ni favorite kwangu kutoka kwa ton BraxtonToni Braxton
hahah wakuu kwenye comment zote hii ndo nyimbo binafsi ninaifahamuBahati bukuku.
Ukieka waraka ukianza safari mpaka unafika ndo unaskia "akamtazama malikia"