Utamsikiliza mwanamuziki gani Safarini?

Utamsikiliza mwanamuziki gani Safarini?

Fally Ipupa Control (album 31 songs)
Fally Ipupa Formule 7 (album 30 songs)
 
Jana sikufika laki zile nyimbo nzuri kweli, naomba nyingine basi.

Wewe kasikilize impossible, burn, in the end, darkside, hello world 🎧
Unaona eeh nilikuchagulia nyimbo nzuri, ngoja nikaskie zako. Ila zile zilikuwa nzuri kweli yaan. Nipe nyingine 😂
 
Hapo ukiniwekea ahmed al ajmy au abbdulrahman sudais safari itakuwa poa sana.wasoma quran hao
 
Back
Top Bottom