Utamsikiliza mwanamuziki gani Safarini?

Utamsikiliza mwanamuziki gani Safarini?

Hiyo nyimbo ukianza kufua mpaka unamaliza ndo unasikia
"Niliamua kumwangukia daktari
Hicho ndicho chanzo cha tatizo langu"
😂 baada ya kukauka ukiwa unazianua nguo ndio unasikia "Wifi mkubwa alinyanyuka
′Unatuletea usanii hapa
Fanyia kaka yetu huko huko
Sisi ni watoto wa mjini bwana hatutishiwi machozi"
 
😂 baada ya kukauka ukiwa unazianua nguo ndio unasikia "Wifi mkubwa alinyanyuka
′Unatuletea usanii hapa
Fanyia kaka yetu huko huko
Sisi ni watoto wa mjini bwana hatutishiwi machozi"
Ukizikunja ukaziweka kwa kabati ukasema upike ugali Ile unamaliza kula unamkuta Yuko kwa "Mume wangu akasimama na kuanza kulia kwa uchungu"
😂😂
 
Bob Marley.

Ova
Umeshajua kwanini nilishangaa right? Nilipoiona hii thread jibu langu lilikuwa hilo ila tu sikusema. Hapo sasa tukiongeza turn me on, nuttin no go so & the likes hiyo safari itakuwa ya moto sana.

Bwana b... ujeeeeeee.
 
Bila shaka naja, mchumba.

Ova
 
Back
Top Bottom