Hata mm napenda sana nyimbo zakeAlan walker songs, mpaka natamani safari isiishe
Different world na ilivyo slow ukijumlisha na sauti ya Sophia somajo mpaka nachanganyikiwa mwenzio βΊοΈHata mm napenda sana nyimbo zake
Dr kipozeoUna Safari ya takriban saa 10, ni Msanii gani utamsikiliza mwanzo hadi mwisho wa Safari?
Mimi nitamskiliza Nicki Minaj non stop. Am her biggest fan
Sikiliza impossible na sad sometimes kwa ajili yangu leo mpaka asubuhi π€Different word na ilivyo slow ukijumlisha na sauti ya Sophia somajo mpaka nachanganyikiwa mwenzio βΊοΈ
Bob Marley.Una Safari ya takriban saa 10, ni Msanii gani utamsikiliza mwanzo hadi mwisho wa Safari?
Mimi nitamskiliza Nicki Minaj non stop. Am her biggest fan
Usijali me ntakupa kesho full list, leo lala lost control tuSikiliza impossible na sad sometimes kwa ajili yangu leo mpaka asubuhi π€
Penzi moto moto Hilo daah πUsijali me ntakupa kesho full list, leo lala lost control tu
Nice π naijua hiyo nzuri sana βΊοΈUsijali me ntakupa kesho full list, leo lala lost control tu
Ongeza na dunia haina huruma.Bahati bukuku.
Ukieka waraka ukianza safari mpaka unafika ndo unaskia "akamtazama malikia"
Mbona mnasikiliza nyimbo za 99Nice π naijua hiyo nzuri sana βΊοΈ
Koma, nani kasemaPenzi moto moto Hilo daah π
Sijakuelewa mkuu πMbona mnasikiliza nyimbo za 99
Au basi πππππKoma, nani kasema
Mkuu usije kunisingizia πM
Au basi πππππ
Sijakuelewa mkuu π
Nawewe utulieMkuu usije kunisingizia π
Nimefumba mdomoπ machoπ masikio πmkuu basiiMkuu usije kunisingizia π