Utamtambuaje muathirika wa UKIMWI kwa kumwangalia?

Utamtambuaje muathirika wa UKIMWI kwa kumwangalia?

Sio rahis sana lakini kama ana dalili kuu unaweza tambua mpauko wa ngozi mara nyingi inakuwa haina afya yaani imefubaa sana.
 
Damu inatakiwa iwe na test ya alkaline

Damu ya mwili inatakiwa iwe alkaline kwa kiwango cha 44-147 units/liter na acidic level ya damu inatakiwa iwe pH7. Vyakula kama red meat, na vyakula vya wanga in general (ugali, wali, chapatti, mihogo, viazi) vinaongeza acidic level kwenye damu. pH ikiwa kubwa na mazalio mazuri ya magonjwa kwenye damu. Dr Sebi anashauri watu wale vitu vya asili, kama utaweza kula chakula raw, kama kutafuna karanga mbichi, nuts zote, chai bila sukari, honey anasema ni nzuri, matunda, salad, maparachichi nk.
Diet yake inasaidia sana kutoa mafuta mwilini.

Kama vyakula hivyo vinaongeza acidity basi hiyo pH inayosababisha maradhi inabidi iwe ndogo na sio kubwa

Basi sawa
 
Baadhi yao wanatumia dozi utakuta anakitambi kama mjamzito vile wengine wanakuwa na shape hatari wengine wananenepa kuliko kawaida yao
 
Hii ndio sababu uzinzi kwangu ni mwiko. Coz huwezi kujua nani + au - . Na wengine hatuwezi na hatujaribu kutumia condom, ni bora nisifanye kabisa kuliko kuvaa mipira.
 
Ana kitambi na miguu myembamba, ana umbo namba naneeee, ooogh hotatenaeeeiii (kwa sauti ya Mgosi/Mkoloni) hahahaahahaha Mpwa kama umepata mdada/mkaka mzuri endelea nae! Enzi zangu niliacha Mdada mzuri balaa kwa maneno ya watu kuwa ana ngoma, ninavyosema leo hii ni kwamba yupo na ana familia.....
 
Mkuu kigezo cha kuwa na familia ndo kimekuaminisha kuwa hana?😱
 
Njia rahisi naijua kwa wanawake. Muangalie miguu, lazima itakuwa imesinyaa hata kama sehemu zingine kanawiri kias gan. Miguu itakuwa IMESINYAA tu.
 
Back
Top Bottom