Si kweli, bangi mbayaIla bangi haina madhara, basi tu woga wenu.
Kufungua jicho la tatu ni moja ya madhara ya bangi kama unavyosema na imetumiwa na waaguzi tangia Delphi Ugiriki.........Sijazungumzia madhara
Haya ni madharaa kwasababu it makes your soul susceptible to evil spirits .....Hapana sio madhara nj faida... Hata mimi mara moja moja nakumbushia enzi [emoji30] [emoji125]
Sikuwahi kujua kama watumiaji wa mmea hawana heshima
mshana jr mvuta Bangi hajulikani kwa macho, nasikia Yule baba mwenye nyumba anayefuga mafisi Na misukule eti nae analivutaTeja anajulikana kwa uchovu usioisha
Mlevi kwa harufu na kuyumba
Mtumiaji wa jani je? Macho yaliyovimba kwa chini.. Macho mekundu muda wote, kutumbua macho sana sometimes kupisha ama kupishana na visivyoonekana ama la kufungua jicho la tatu View attachment 654593
NB: picha ya rais wa Kenya isichukuliwe kama dhihaka kwakuwa mmea ni mojawapo ya tiba adhimu duniani na unatumiwa na watu wa kaliba ya juu