Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Teja anajulikana kwa uchovu usioisha.

Mlevi kwa harufu na kuyumba.

Mtumiaji wa jani je?
Macho yaliyovimba kwa chini. Macho mekundu muda wote, kutumbua macho sana sometimes kupisha ama kupishana na visivyoonekana ama la kufungua jicho la tatu.
 
Ati anasema ujumbe aliouweka hapo tusiiuanganishe na hiyo picha!
sasa mbona sifa zinaendana na picha kisifa!

sijawahi kuwa mjinga ila huwa naficha welevu punje 2😀
 
Ati anasema ujumbe aliouweka hapo tusiiuanganishe na hiyo picha!
sasa mbona sifa zinaendana na picha kisifa!

sijawahi kuwa mjinga ila huwa naficha welevu punje 2😀
Eti anasema! Nani huyo?
Halafu punguza mafumbo na masimango
 
Teja anajulikana kwa uchovu usioisha
Mlevi kwa harufu na kuyumba
Mtumiaji wa jani je? Macho yaliyovimba kwa chini.. Macho mekundu muda wote, kutumbua macho sana sometimes kupisha ama kupishana na visivyoonekana ama la kufungua jicho la tatu View attachment 654593

NB: picha ya rais wa Kenya isichukuliwe kama dhihaka kwakuwa mmea ni mojawapo ya tiba adhimu duniani na unatumiwa na watu wa kaliba ya juu
mshana jr mvuta Bangi hajulikani kwa macho, nasikia Yule baba mwenye nyumba anayefuga mafisi Na misukule eti nae analivuta
 
Back
Top Bottom