afyakliniki
Senior Member
- Nov 21, 2018
- 125
- 81
Ukichoma unatulia na unapiga kazi mpaka sio poaSacred weed.. Naupenda sana[emoji23][emoji23][emoji23]hasa kwa kazi yangu
Jr[emoji769]
Kumbe ndo maana yule msanii wa T.k yuko vileTeja anajulikana kwa uchovu usioisha.
Mlevi kwa harufu na kuyumba.
Mtumiaji wa jani je?
Macho yaliyovimba kwa chini. Macho mekundu muda wote, kutumbua macho sana sometimes kupisha ama kupishana na visivyoonekana ama la kufungua jicho la tatu.
Hahahahaaa.. Nakubali kumbe mzee mzima wa "discharge mortuary" baba pale bila kaya sizani kama panasogeaaa kamanda.Nazichambua maiti kama karanga kwa raha zangu... Zinazozingua nazizingua... Zinazotamanisha..... [emoji85]nazitamanisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Jr[emoji769]
Hakika bangi na iheshimiwe na watu wote .Huu mmea uheshimiwe wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaa.. Nakubali kumbe mzee mzima wa "discharge mortuary" baba pale bila kaya sizani kama panasogeaaa kamanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bangi ni bora kuliko kiroba hamuoni yule mbunge wa kule kanda ya ziwa akiitetea?
Nna uncle wng yeye akivuta hua ananunua malori, anajenga maghorofa yake, anafungua na kiwanda.
Kuna siku bana sijui alikua kala kitu cha wapi akaja na mafundi home kwenye nyumba yao ya urithi wakavunja nyumba yote ili ajenge ghorofa halafu mfukoni alikua na buku mbili mia nane tu.
Maendeleo hayana chama
[emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii lazima niweke status kwenye w'sap yanguNna uncle wng yeye akivuta hua ananunua malori, anajenga maghorofa yake, anafungua na kiwanda.
Kuna siku bana sijui alikua kitu cha wapi akaja na mafundi home kwenye nyumba yao ya urithi wakavunja nyumba yote ili ajenge ghorofa halafu mfukoni alikua na buku mbili mia nane tu.
Maendeleo hayana chama
Yaani acha tu mpk leo kiwanja kipo wazi bado hakijajengwa.[emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii lazima niweke status kwenye w'sap yangu
Jr[emoji769]
huyu mgonjwa mkuu siyo kwamba amevuta ndum
Hana ugonjwa wowote ngada tu ndio inampelekesha.huyu mgonjwa mkuu siyo kwamba amevuta ndum