Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Teja anajulikana kwa uchovu usioisha.

Mlevi kwa harufu na kuyumba.

Mtumiaji wa jani je?
Macho yaliyovimba kwa chini. Macho mekundu muda wote, kutumbua macho sana sometimes kupisha ama kupishana na visivyoonekana ama la kufungua jicho la tatu.
Kumbe ndo maana yule msanii wa T.k yuko vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazichambua maiti kama karanga kwa raha zangu... Zinazozingua nazizingua... Zinazotamanisha..... [emoji85]nazitamanisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
Hahahahaaa.. Nakubali kumbe mzee mzima wa "discharge mortuary" baba pale bila kaya sizani kama panasogeaaa kamanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bangi ni bora kuliko kiroba hamuoni yule mbunge wa kule kanda ya ziwa akiitetea?

Bangi ingekuwa nzuri hii leo huyo mbunge toka kanda maalum asingekuwa amejaa madeni ya benki mpaka kwenye kope, ameshindwa kulipa na iliyobaki ni kufilisiwa!!
 
Nna uncle wng yeye akivuta hua ananunua malori, anajenga maghorofa yake, anafungua na kiwanda.
Kuna siku bana sijui alikua kitu cha wapi akaja na mafundi home kwenye nyumba yao ya urithi wakavunja nyumba yote ili ajenge ghorofa halafu mfukoni alikua na buku mbili mia nane tu.

Maendeleo hayana chama
 
Nna uncle wng yeye akivuta hua ananunua malori, anajenga maghorofa yake, anafungua na kiwanda.
Kuna siku bana sijui alikua kala kitu cha wapi akaja na mafundi home kwenye nyumba yao ya urithi wakavunja nyumba yote ili ajenge ghorofa halafu mfukoni alikua na buku mbili mia nane tu.

Maendeleo hayana chama

Maendeleo hayana chama
 
Nna uncle wng yeye akivuta hua ananunua malori, anajenga maghorofa yake, anafungua na kiwanda.
Kuna siku bana sijui alikua kitu cha wapi akaja na mafundi home kwenye nyumba yao ya urithi wakavunja nyumba yote ili ajenge ghorofa halafu mfukoni alikua na buku mbili mia nane tu.

Maendeleo hayana chama
[emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii lazima niweke status kwenye w'sap yangu

Jr[emoji769]
 
[emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii lazima niweke status kwenye w'sap yangu

Jr[emoji769]
Yaani acha tu mpk leo kiwanja kipo wazi bado hakijajengwa.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom