Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Kama kuna kazi, nikila kaya, ninaofanya nao kazi wajiandae! Sichoki kamwe na nafanya mambo kwa usahihi sana.... Kama ni zoezi aisee inakua ni drill kweli kweli.
Haijawai niangusha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30]

Jr[emoji769]
 
Kuna kitu nilitaka kujua kuhusu bangi kama kweli ina addiction.Maana huwa naona watu wengi ni rahisi sana kuacha bangi lakini sio sigara na maunga

Je bangi ina addiction?
 
Utamjua mvuta bangi kama wewe ni mvutaji au umewahi kuvuta na siyo kutest,kwenye Bunge letu tukufu kuna wawakilishi wa mmea kutoka vyama vyote.
 
Unaidhalilisha bangi mkuu acha mambo hayo
 
Haujavuta za Usagara Tanga ww, au za Chuda utaleta mrejesho mwenyewe ila kua makini ukizubaa lzma wakuchanganyie na Ngada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilikuwa natoka bukoba naenda Tanga,ENZI hizo gari zinapitia Uganda na Kenya,kufika Nairobi usiku baridi kalii,kupiga misele nikaingia chimbo nikapata ganja! Daah bange ikiamua kukuzingua Ni noma,nilivuta Kwanza nilisikia joto la ajabu halafu niliona kumepambazuka yaani kweupee[emoji23] toka siku ile sikuvuta Tena!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njaa ilikuponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…