Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Kama kuna kazi, nikila kaya, ninaofanya nao kazi wajiandae! Sichoki kamwe na nafanya mambo kwa usahihi sana.... Kama ni zoezi aisee inakua ni drill kweli kweli.
Haijawai niangusha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30]

Jr[emoji769]
 
Kuna kitu nilitaka kujua kuhusu bangi kama kweli ina addiction.Maana huwa naona watu wengi ni rahisi sana kuacha bangi lakini sio sigara na maunga

Je bangi ina addiction?
 
Utamjua mvuta bangi kama wewe ni mvutaji au umewahi kuvuta na siyo kutest,kwenye Bunge letu tukufu kuna wawakilishi wa mmea kutoka vyama vyote.
 
Nna uncle wng yeye akivuta hua ananunua malori, anajenga maghorofa yake, anafungua na kiwanda.
Kuna siku bana sijui alikua kitu cha wapi akaja na mafundi home kwenye nyumba yao ya urithi wakavunja nyumba yote ili ajenge ghorofa halafu mfukoni alikua na buku mbili mia nane tu.

Maendeleo hayana chama
Unaidhalilisha bangi mkuu acha mambo hayo
 
Afu ganja za siku hizi hazina stimu kabisa unapiga misumali mpk mi 3 ndio kidogoo unastuka sio kama long back ukipata paf 4 za kijiti kimoja tu mambo mswano, hizi bangi watu wanavuta na mademu zao afu wako poa tu hakuna hata maajabu, enzi hizo ukipigisha mtu pafu kadhaa anaweza kurudi kwao kwa miguu akasahau kituo cha daladala.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haujavuta za Usagara Tanga ww, au za Chuda utaleta mrejesho mwenyewe ila kua makini ukizubaa lzma wakuchanganyie na Ngada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilikuwa natoka bukoba naenda Tanga,ENZI hizo gari zinapitia Uganda na Kenya,kufika Nairobi usiku baridi kalii,kupiga misele nikaingia chimbo nikapata ganja! Daah bange ikiamua kukuzingua Ni noma,nilivuta Kwanza nilisikia joto la ajabu halafu niliona kumepambazuka yaani kweupee[emoji23] toka siku ile sikuvuta Tena!!

Njaa ilikuponza
 
Back
Top Bottom