Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Ukivuta ukiwa na njaa, shida, chuki au kutaka kufanya ubaya, kama kilevi, lazima kitakutia kwenye mkono wa sheria..
Ila ukivuta kwa sababu za "Recreation", "Relaxation", upate "Sense of Euphoria", basi hutampa mtu shida wala kumfanyia ubaya mtu yoyote..
 
Ganja.. [HASHTAG]#kemeatafsrimbayayakaya[/HASHTAG].
 
Angalia Macho ya Chege,SnoopDogg,Wizkhalifa au Afande Sele kwenye nyama ya nje inayozunguka jicho juu na chini..
 
I use to smoke weed for 18year's

inabidi ukubali kua kuna watu unaeza kuwajua kama wamevuta

pia kunawatu uwezi jua kama wamevuta hata iweje

mfn : mi nna macho makubwa so nkiwa stimu washkaj walkua wanantania mtu aknipiga kofi la kichogoni macho yanaanguka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

pia nlkua na dem m1 iv ye macho yake ni meupe mda wote awe stim au sober...

but kumjua mla ganja lazima na wewe uwe mbangebange lasivyo utawasingizia wasio husika

NB:nlkua navuta kama starehe tuu sikufundishwa na mtu nljipeleka mwenyewe kwa pusha from that time skuacha had 2014

MATENDO PEKEE HAYAWEZI KUMFANYA MVUTA NDUMU AJULIKANE!!

ila bange nzuri sana bonge 1la starehe kuna moments flanflan iv nazkumbuka
 
Kuna umuhimu wa kuanzisha mada ya vituko vya jani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ilikuwaje ukaacha bange na starehe yake ni ipi
 
Nampenda UK mno. Ni mtu mwema.
Mbona hata rais mstaafu wa ile nchi ya wasiojulikana ana macho mekundu. Tusigeneralize sana hata mimi kuna wakati macho yanakuwa red na kutoa machozi by the way sijawahi onja pombe wala bangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…