Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani huyo? Si mweka mada huyo!Eti anasema! Nani huyo?
Halafu punguza mafumbo na masimango
Kuna umuhimu wa kuanzisha mada ya vituko vya jani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]I use to smoke weed for 18year's
inabidi ukubali kua kuna watu unaeza kuwajua kama wamevuta
pia kunawatu uwezi jua kama wamevuta hata iweje
mfn : mi nna macho makubwa so nkiwa stimu washkaj walkua wanantania mtu aknipiga kofi la kichogoni macho yanaanguka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pia nlkua na dem m1 iv ye macho yake ni meupe mda wote awe stim au sober...
but kumjua mla ganja lazima na wewe uwe mbangebange lasivyo utawasingizia wasio husika
NB:nlkua navuta kama starehe tuu sikufundishwa na mtu nljipeleka mwenyewe kwa pusha from that time skuacha had 2014
MATENDO PEKEE HAYAWEZI KUMFANYA MVUTA NDUMU AJULIKANE!!
ila bange nzuri sana bonge 1la starehe kuna moments flanflan iv nazkumbuka
kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna umuhimu wa kuanzisha mada ya vituko vya jani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilikuwaje ukaacha bange na starehe yake ni ipiI use to smoke weed for 18year's
inabidi ukubali kua kuna watu unaeza kuwajua kama wamevuta
pia kunawatu uwezi jua kama wamevuta hata iweje
mfn : mi nna macho makubwa so nkiwa stimu washkaj walkua wanantania mtu aknipiga kofi la kichogoni macho yanaanguka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pia nlkua na dem m1 iv ye macho yake ni meupe mda wote awe stim au sober...
but kumjua mla ganja lazima na wewe uwe mbangebange lasivyo utawasingizia wasio husika
NB:nlkua navuta kama starehe tuu sikufundishwa na mtu nljipeleka mwenyewe kwa pusha from that time skuacha had 2014
MATENDO PEKEE HAYAWEZI KUMFANYA MVUTA NDUMU AJULIKANE!!
ila bange nzuri sana bonge 1la starehe kuna moments flanflan iv nazkumbuka
nlkua nshaichoka tuu skua na sabab nyingine ata!!Ilikuwaje ukaacha bange na starehe yake ni ipi
Ukiona hivyo ujue una tatizo kwenye macho wahi tibaNampenda UK mno. Ni mtu mwema.
Mbona hata rais mstaafu wa ile nchi ya wasiojulikana ana macho mekundu. Tusigeneralize sana hata mimi kuna wakati macho yanakuwa red na kutoa machozi by the way sijawahi onja pombe wala bangi.
Mda sio mrefu utaenda mwochaliIla bangi haina madhara, basi tu ni woga wenu. Bangi haichoshi kivileeeee kama huzidishiii.
NB: Umemvunjia heshima Mzee Kenyatta.
Mimi mtumishi wa Yesu siwezi kwenda mwochali kirahisi tu. You read me ???Mda sio mrefu utaenda mwochali