Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angalia jinsi ya uchangiaji wake kwenye hii thread utamtambua[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Acha kukariri jamaaSi kweli, bangi mbaya
Bangi haina tatizoSitumii bangi ila sijawahi ona sababu ya kuichukia au kuchukia watumiaji wake.
kuna swali langu nilikuwa najiuliza ni kwanini wasanii hata ukumbini usiku unakuta wamevaa miwani black ya giza hivi huwa ni bangi au macho yanakuwa yamevimba na mekundu kwahiyo wanayafichaKuna umuhimu wa kuanzisha mada ya vituko vya jani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna swali langu nilikuwa najiuliza ni kwanini wasanii hata ukumbini usiku unakuta wamevaa miwani black ya giza hivi huwa ni bangi au macho yanakuwa yamevimba na mekundu kwahiyo wanayaficha
miwani yako pia huwa naitilia shaka ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kama haina madhara Haruna Moshi Boban angekuwa bado yupo Ulaya na Feruzi angeshampita Diamond kwa mafanikio. Bange haiachi vijana wetu salama
wa kwenu watakuwa ni tofauti na wa kwetu au bangi ndio zinztofautiana nini! wanasema ya Arusha ni kibokokumtambua mla ndumu ni kazi sana,,,, wengi ni wastaarabu....na wanavutia mbali na jamii.....
sasa mbona wasanii wengi wa marekani wanakula unga lakini unaona miili yao haijachoka kama wa kwetuWale wana kula unga ndio maana wako vile.
OMGHapana sio madhara nj faida... Hata mimi mara moja moja nakumbushia enzi [emoji30] [emoji125]
Nchi kama hii unaishi kwa raha kabisauzuri wa bangi wakati mwingine ina tija kwa Taifa!
View attachment 658175 View attachment 658176 View attachment 658177
sasa mbona wasanii wengi wa marekani wanakula unga lakini unaona miili yao haijachoka kama wa kwetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]uzuri wa bangi wakati mwingine ina tija kwa Taifa!
View attachment 658175 View attachment 658176 View attachment 658177