Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Angalia jinsi ya uchangiaji wake kwenye hii thread utamtambua[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna umuhimu wa kuanzisha mada ya vituko vya jani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kuna swali langu nilikuwa najiuliza ni kwanini wasanii hata ukumbini usiku unakuta wamevaa miwani black ya giza hivi huwa ni bangi au macho yanakuwa yamevimba na mekundu kwahiyo wanayaficha
 
kuna swali langu nilikuwa najiuliza ni kwanini wasanii hata ukumbini usiku unakuta wamevaa miwani black ya giza hivi huwa ni bangi au macho yanakuwa yamevimba na mekundu kwahiyo wanayaficha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kumtambua mla ndumu ni kazi sana,,,, wengi ni wastaarabu....na wanavutia mbali na jamii.....
wa kwenu watakuwa ni tofauti na wa kwetu au bangi ndio zinztofautiana nini! wanasema ya Arusha ni kiboko
 
Kwasifa nilizopata hapa kuhusu hichi kilev naona ndo kilev sahih nnachohitajika kutumia, nakuastressed mda mrefu, nkitumia hii ktu hata my co-workers wtanichukulia serious kma nnavotaka, tatizo nihuo upatikanaje wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…