Utamu haukataliki.

Utamu haukataliki.

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
55,727
Reaction score
55,401
Mwanajeshi mmoja awakamata wasichana wawili na bi kizee mmoja, ambapo walikuwa upande wa maadui. Mwanajeshi akawaambia adhabu ninayowapa ni kuwamicha kila mmoja, wale wasichana wakiwa wanamtetea yule bi kizee wabebe adhabu yao. Bi kize akakurupuka akasema, adhabu ni adhabu kila mmoja anastahili, chezea utraaamu wewe.
 
Back
Top Bottom