Tende ni tunda lenye ladha tamu na nzuri mdomoni,lakini kisayansi pia limethibitika kusheheni madini na vitamin lukuki,hivyo kuwa na faida nyingi kiafya.Zifuatazo ni faida za TENDE
1.Ukila tende mwili utapata aina mbalimbali za madini na vitamin za kutosha,katika tende kuna kiasi kidogo tu cha mafuta(fat) na haina lehemu(kolestrol).
2.Husaidia mlaji kuongeza protini na Vitamin B1,B2,B5,A1 na C,hivi ni muhimu kwa usatawi wa mwili wa binadamu.
3.Huimarisha na kuboresha mfumo wa usagaji chakula tumboni,hivyo mlaji ataondokana na tatizo la ukosefu wa choo,au kupata choo kigumu.
4.Tende hufanya mwili kuwa na nguvu na kuondoa uchovu, kwa sababu tende ina sukari asilia,ndani ya nusu saa tu uchovu unaondoka,hii ni kwa sababu ya glucose,ukitaka ufaidi zaidi changanya na maziwa fresh, so badala ya kunywa vinywaj baridi kama vile Redbull au malta kula tende.
5.Tende huimarisha mishipa ya fahamu kwa sababu ina madini ya chumvi kidogo na potashiamu.
6.Kwa wenye matatizo ya upungufu wa damu mwilini wanashauriwa kula tende wanaweza kupata ahuweni, pia tende huzuia uozaji wa meno tofauti na vitu vingine vitamu
7.Tende zina nafasi yake kwenye kuongeza NGUVU ZA KIUME, mchanganyiko maalum wa tende, maziwa, asali na unga wa hiriki huondoa tatizo hili
8.Tende inatibu saratani ya TUMBO, inafanya kazi vizuri kuliko dawa ya kizungu