Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WACHA KUONGEA BILA KUFIKIRIA. MBONA UNAROPOKWAROPOKWA TU!! UNA NINI WEWE??? HAUKO SAWA SIO? WATU WANAONGELEA MAMBO YA MAANA WEWE UNALETA UJINGAJINGA TUU. HEBU FUATILIA WATU WA MASHARIKI YA KATI AMBAO TENDE KWAO NI ASILI WANATOSHIKAMANA NAO ZAMA ZOTE TANGU KALE MPAKA LEO HII TUNAPOONGEA. KISHA NDIO USEME.we ni mganga wa kienyeji, au mchawi, kama si hivyo utakuwa jini. usilete uganga wako wa kienyeji hapa. tuloweke tende kwenye maziwa ya mbuzi, kwani maziwa ni ya mbuzi tu...ya kondoo, ya ng'ombe, ya ngamia je? yana tofauti gani?