Hakuna chakula kilichothibitishwa kuongeza nguvu ya kiume, huo ni uongo. Simple as that.

unaota wewe,,,hebu soma vizuri hapo namba 7;simple like that
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Hakuna chakula kilichothibitishwa kuongeza nguvu ya kiume, huo ni uongo. Simple as that.
zinasaidia sana digestion, pia kwa wajawazito zinasaidia sn kufungua nyonga, zina mafuta, wanga, sukari hvy ni nzuri sn
Here are Some of the Best Body Lotions:jamani ni lotion gani nzuri hasa kwa ngozi yenye mafuta mengi
zinasaidia sana digestion, pia kwa wajawazito zinasaidia sn kufungua nyonga, zina mafuta, wanga, sukari hvy ni nzuri sn
Utamu na Faida za Tende
Je unajua kwamba tende ndio tunda pekee lenye kuupatia mwili vitu vinne kwa wakati mmoja, vitamin, protini, wanga na mafuta? Tende ni tunda ambalo linayeyuka kirahisi tumboni na lenye faida nyingi sana ambazo hulifanya liwe tunda la kipee.
Kwa leo tutazielezea baadhi ya faida za tende mwilini:
1- Kwa watu wenye matatizo ya tumbo, nicotinic inayopatikana kwenye tende husaidia kurekebisha matatizo ya tumbo na huleta ahueni kwa watu wenye matatizo ya kupata choo.
Mkuu hebu tufafanulie vizuri, moyo unaimarishwa ki namna gani? Ninachojua ni nkuwa moyo" huundwa" na misuli ya moyo, mishipa ya damu, neva za fahamu na kiwambo chembamba kikiufunika kwa nje. Sasa ni nini kilichopo katika tende kinachoimarisha moyo; ama nini kinaimarisha sehemu gani ya moyo.2- Tende husaidia kuuimarisha moyo. Iloweke tende kwenye maji kwa usiku mmoja na asubuhi kunywa maji hayo pamoja na tende zilizolewekwa baada ya kuondoa mbegu, ukifanya hivyo mara mbili kwa wiki, moyo wako utakuwa imara.
Hili nalo linaleta kizungumkuti. Kama tende pekee ingekuwa inasaidia kupata hizo nguvu na stamina kwanini isilowekwe kwenye maji peke yake au kumung'unywa halafu ikupe matokeo uliyoyasema? Kwanini tusifikiri kuwa hizo nguvu zinatokana na maziwa ya mbuzi ama asali?. Maana hata maziwa halisi ya ng'ombe tunajua yanampatia mtu nguvu.3- Tende husaidia pia kwenye mambo ya malavi davi. Iloweke tende kwenye maziwa ya mbuzi usiku, asubuhi changanya maziwa hayo na asali kisha kunywa, njia hii husaidia kuongeza nguvu na stamina za kufanya mapenzi.
Hapa tunadanganyana kweupe. Ili mwanamke ajifungue anahitaji sana misuli ya mji wa mimba (uterine muscles) ibane ile mtoto aweze kutoka tena ikisaidiana na misuli ya tumbo, wewe unaleta habari ya ajabu sana.Basi kuna haja gani ya kuwapatia wakina mama pitocin, ikiwa tunahitaji misuli ya mji wa uzazi/mimba ilegee ndipo ajifungue? Kuna umuhimu gani wa kuwataka wakina mama wajawazito wafanye mazoezi? Nani analiyekwambia ili damu isitoke sana basi misuli na itanuke,isibane?4- Utafiti umeonyesha kuwa tende husaidia kutanua misuli ya mji wa mimba wakati mwanamke anapokaribia kujifungua, hii husaidia kumfanya mwanamke asipoteze damu nyingi wakati wa kujifungua.
Mwanzoni, umetueleza nini kimo/kipo ndani ya tende. Ili kiwe chakula cha kupewa hadi uliyoitaja hapo juu utusaidie kwa kutuonyesha food value, its contents, in percentage.5- Wataalamu wa vyakula, wanazichukulia tende kama chakula bora kwa wanawake wanaonyonyesha kwani husaidia kuyapa maziwa virutubisho muhimu vinavyomfanya mtoto awe na afya njema.
Mmmh!! Sijui tunaweza tukafika, ila tukiwa tumechoka saaana.6- Tende husaidia kupunguza kiwango cha kilevi (alcohol) kwenye damu. Maji ya kunywa ambayo tende imelowekwa ndani yake husaidia kuondoa haraka alcohol mwilini.
Ni kilichopo ndani ya tende mpaka kikawa kina-retard ageing? Ni kipi kilichomo ndani ya tende kinachosaidia kuondosha mabaka yatokanayo na kuungua na jua?7 - Tende husaidia kuchelewesha dalili za uzee na pia husaidia kurekebisha ngozi na huondoa mabaka ya kuungua na jua.
Mkuu, mbona unachanganya madesa kihivyo, hapo awali umesema tende lina vitu vinne, na sasa unachomekea cha tano kiaina. Tukueleweje?8- Kutokana na madini ya chuma kwenye tende, watu wenye upungufu wa damu hupata ahueni.
Hapa sihitaji uthibitisho kwa kumtafuta mwalimu wangu wa Biology aliyenifundisha" Food Substances" katika topic ya Nutrition (as one the characteristic features of living organisms) wakati niko form II, bali nitakwenda kwa mwalimu wangu wa Sayansi Kimu wakati niko darasa la tatu. Hivi kweli vitamini ni chanzo cha nguvu ambayo pia inaitwa nishati? Vitamini B1 and B2,you are so lucky to honoured that you are also the source of energy to liver. Oh My God!!9- Vitamin B1 na B2 vilivyopo kwenye tende husaidia kuyapa nguvu maini.
Tender ina iron, hence helps kuzidisha damu..
Madhara, too much of it...welcomes diabetes, so watch out.