Utamu wa bodaboda

Utamu wa bodaboda

AIG

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
202
Reaction score
107
Nafanya kazi ya boda boda muda sasa.. Miezi 2 iliopita nilihama kijiwe maeneo ya sinza nikahamia magomeni

Ebana hiki kijiwe kina abiria balaa yani hukai muda wote uko bizee, Sasa kuna abiria wangu mmoja ni mama mtu mzima huwaga naendaga kumchukua kwake nampeleka kwenye biashara zake kiukweli analipa vizuri sehemu ya buku 1 anakupa buku 5 halafu hata chenji hataki

Juzi amenitumia meseji anataka niwe nae kimapenzi na ameniahidi ataninunulia boda boda yangu, sasa Nimepagawaaa nikifiria hii boda boda ni ya mtu nafanya kupeleka hesabu na ndoto yangu kumiliki boda boda yangu

Ushauri wakuuu
 
Mwendesha boda hana muda na jf acha uongo ........

Mtu mzima ana kende na ndevu zake za kutosha tu Lakini ana mda kutunga uongo hii maana yake nini!!
 
Hiyo boda boda uliyonayo tayari ni ukimwi wa mchina, sasa naona unataka uongeze mwingine uharakishe kifo chako [emoji4]
Aah poa nimekuelewa
 
02e6d446-ebe9-4dad-8a85-274bc42bde9c.jpg
 
Nafanya kazi ya boda boda muda sasa.. Miezi 2 iliopita nilihama kijiwe maeneo ya sinza nikahamia magomeni

Ebana hiki kijiwe kina abiria balaa yani hukai muda wote uko bizee, Sasa kuna abiria wangu mmoja ni mama mtu mzima huwaga naendaga kumchukua kwake nampeleka kwenye biashara zake kiukweli analipa vizuri sehemu ya buku 1 anakupa buku 5 halafu hata chenji hataki

Juzi amenitumia meseji anataka niwe nae kimapenzi na ameniahidi ataninunulia boda boda yangu, sasa Nimepagawaaa nikifiria hii boda boda ni ya mtu nafanya kupeleka hesabu na ndoto yangu kumiliki boda boda yangu

Ushauri wakuuu
Dah wanaume wa dar mnasikitisha, we ngoja utundikwe kitu nyuma
 
Nafanya kazi ya boda boda muda sasa.. Miezi 2 iliopita nilihama kijiwe maeneo ya sinza nikahamia magomeni

Ebana hiki kijiwe kina abiria balaa yani hukai muda wote uko bizee, Sasa kuna abiria wangu mmoja ni mama mtu mzima huwaga naendaga kumchukua kwake nampeleka kwenye biashara zake kiukweli analipa vizuri sehemu ya buku 1 anakupa buku 5 halafu hata chenji hataki

Juzi amenitumia meseji anataka niwe nae kimapenzi na ameniahidi ataninunulia boda boda yangu, sasa Nimepagawaaa nikifiria hii boda boda ni ya mtu nafanya kupeleka hesabu na ndoto yangu kumiliki boda boda yangu

Ushauri wakuuu
Huna utofauti na mdogo wangu ninae mdanganyaga, "ntakuletea pipi nikitoka mjini "
Sikuhukumu, labda una umri gani ambao unashindwa kudadavua jambo kama hilo mwenyewe mpka kuja jf?

Oya kua bhana, mambo mengine siyo yakuleta humu!!
 
Back
Top Bottom