Utamu wa kachumbari......

Utamu wa kachumbari......

WAVISA

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
229
Reaction score
60
Wadau hata iweje ni zaidi ya nusu mnaosoma hapa mmewahi kutengeneza kachumbari, ni vigumu sana kuimaliza kuitengeneza bila kuionja zen ukaiweka mezan kuisubirisha msosi, nini namaanisha sasa? mimi ni janaume la shoka jeusi ni mdogo wake madingi lakini braza wake makaka, muda sana nilikuwa kwenye mitikisiko ya kimaisha sasa nawish kuwa na rafiki, awe mpenzi afu baaadae aje kuwa mke wangu, mi sio mnafiki kwenye hizo hatua najua lazima ntaomba kumega tu, kwani pia nna tatizo la uroho sana, na possibly ndio jambo hilo la uroho lilinichelewesha hata kuoa, kwasababu nilikuwa napewa vya kwenye ndoa,sina mahela ila nina mipango ya kuja kuzikamata, wanawake wanaohitajika ni toka mikoa ya morogoro, iringa, dodoma, dar, njombe, na mbeya tu.sio kimakabila bali kiukazi,nina nia ya dhati na toka moyoni.
karibuni sana kigezo cha elimu, ni ya kawaida, dini haimati ilimradi ukubali kuja yangu tukija kukubaliana,ila ambao hawajazalishwa watapewa kipaumbele.
 
Wasubiri wanakuja...wa waroho wenzio kama kwako chakula haitoshelezi lazima wakaduse kwa jirani
 
Duh....nimestak hata kuelewa...huna hela?muonjaji?hmmmmm ngoja nimjaribu Kongosho popote ulipo mkuu ur msaada wa kielimisho tasavali
 
Last edited by a moderator:

Kwani kaka wewe umri wako ni gani............? Mimi nipo Sumbawanga......nimekupenda kweli......na nimevutiwa na kipengele cha kuonjana kwanza......ila sasa kabla hatujaonjana.......chonde chonde.......itabidi tukanawe kwanza miguu........utaniuliza kwa nini wakati tunanawa.....sawa eeeh.......
 
Preta......mweh mweh mweh...
 
Last edited by a moderator:
huyu ni dogo kabisa hakuna ubishi hapa anajifurahisha tu
 
Kazi kweli kweli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa hiyo kila mikoa uliyotaja ndo utakuwa na mmoja ili kukidhi kiu? Nanihii yako ina turbo charger ama?
 
Hahahaaaa..... Huo uroho wako umeniogopesha..!
 
Wasubiri wanakuja...wa waroho wenzio kama kwako chakula haitoshelezi lazima wakaduse kwa jirani
Mmh madamex kusema ukweli ndio uroho jamani? mi namaanisha ktk hilo.
 
Duh....nimestak hata kuelewa...huna hela?muonjaji?hmmmmm ngoja nimjaribu Kongosho popote ulipo mkuu ur msaada wa kielimisho tasavali

Kipi hapo kigumu? yaani so hela hata ya kununulia ali condo? ila yale mahela flani ya kutapanya, ila nmesema nina mipango ya kuzikamata na mimi nikiwa nazo huwa nazitapanya mpaka zinanizoea.kuhusu kuonja huo ndio ukweli wangu.
 
Kwani kaka wewe umri wako ni gani............? Mimi nipo Sumbawanga......nimekupenda kweli......na nimevutiwa na kipengele cha kuonjana kwanza......ila sasa kabla hatujaonjana.......chonde chonde.......itabidi tukanawe kwanza miguu........utaniuliza kwa nini wakati tunanawa.....sawa eeeh.......

nikija kukosa we nawe umesababisha, amini nakuambien nipo serious na hili, nmechoka na huu upweke mie.
 
Hahahaaaa..... Huo uroho wako umeniogopesha..!
Usiogope mpendwa, nimeamua kuweka wazi udhaifu wangu, wengi wana tatizo hilo la uroho ila huwa hawapendi kujitaja, kwavile mi staki kumdanganya mtu, ndio maana nmewekawazi kwaiyo ikiwa vp ndio dosari ya kuanza kuirekebisha, kwani mi naamini mficha uchi hazai, ila narekebishika nalabda nkipewa kila sku inaweza kunikifu nikabadilika mapema,.
 
huyu ni dogo kabisa hakuna ubishi hapa anajifurahisha tu
mkuu sindo acha ushe yahaya humu jukwaaani nijifura

hishe hapa kwani kule kwenye jokes sikujui? namaanisha sana amini tena nakwambia mkuu.mi nahate watu wanaoleta masikhara humu kwaiyo siwez kuwa mmoja wao.
 
Back
Top Bottom