Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Siku mkapa aklitinga mahakamani nchi itatikisika na nakuhakikishia halitakuja kutokea
Mhhhh wale wale tunao wapiga vita.
Hizi ni imani potofu zinatakiwa zikemewe kwa nguvu zote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku mkapa aklitinga mahakamani nchi itatikisika na nakuhakikishia halitakuja kutokea
Huo ndiyo utamu wa Maji ya Bendera ya SISIEMU. Matamshi ya Bashe sijui Basha hayatofautiana sana na Mbatia. Sioni faida ya kumtetea fisadi kwa Tanzania ya LEO. Watanzania tumeamka, sio wakati ule wa zidumu fikra za Mwenyekigoda.
Siku mkapa aklitinga mahakamani nchi itatikisika na nakuhakikishia halitakuja kutokea
Mzee wa masters!
kwa mawazo yako haya ya kipumbavu kabisa sitashangaa sana kama na wewe utakuwa ni mmoja wapo wa watu wanaotafuta mifupa ya albino il eti iweze kuwaletea vyeo na utajiri na kwa wewe another masters. Acha kutishia paka nyau
Si ulikuwa na picha ya mkapa hapo juu irudishe
Tatizo la viongozi wengi wa Tanzania wamekosa wisdom na descipline; and further more they are full of selfishness! Sasa wanachofanya ni kuwazugazuga tuu Watanzania, while wanajaza matumbo yao na kujilimbikizia mali, zingine hata hawazihitaji. Sasa mfano mzuri ndio huyu Hussein. Kitu kizuri ni kuwa Watanzania wa sasa si mambumbumbu tena, maana wanaelewa reality; what's happening.
- Mkulu wangu Indume Yene, hapa tupo ukurasa mmoja hivi huyu jamaa Bashe kumbe naye ni wale wale? Ina maana huyu ni mtu wa Nchimbi/Lowassa nini?
- Hawa watu atulie kama wananyolewa la Mkapa kutinga Kisutu halina mjadala tena it is about time, yaani uwapeleke rumande Yona, Mramba, na Mgonja bila ya Mkapa, hiyo itakua ni sheria au Ze-comedy?
NA huyo Bashe ndiyo mvivu wa kufikiri kuliko watanzania wote....
Wana JF tusiumize vichwa kuhusu huyu kijana Bashe,
Ni kijana mdogo, hajasoma sawasawa lakini ana haraka kuwa Mbunge na Waziri kipindi cha pili cha Serikali ya JK. Huyu kijana ni "mtoto" wa kulelewa kisiasa na fisadi Rostam Aziz na shogake Lowassa. Ana kazi moja tu: kupiga kelele sana sasa hivi ili ajulikane kuwa "mwanamtandao original" ambaye kapewa kazi ya kumwondoa ubunge Mhe. Lucas Selelii wa Nzega. Mafisadi wamemchangia fedha nyingi sana kwa kazi hii. Wananchi wa Nzega wataila vizuri lakini anaweza asichaguliwe; wakaamua kuendelea na shujaa Selelii badala ya halfcast wa kisomali na kiajemi mwenye fedha chafu, vyeti feki kama vya akina Nchimbi, Kamala, Makongoro na Nagu.
NA huyo Bashe ndiyo mvivu wa kufikiri kuliko watanzania wote....
bashe ..deal za wizi wa magari na kuuza magari ya wizi ameacha?>???
Siku mkapa aklitinga mahakamani nchi itatikisika na nakuhakikishia halitakuja kutokea