Utamu wa Maji ya Bendera: Muulize Bashe

Utamu wa Maji ya Bendera: Muulize Bashe

Siku mkapa aklitinga mahakamani nchi itatikisika na nakuhakikishia halitakuja kutokea

Mhhhh wale wale tunao wapiga vita.
Hizi ni imani potofu zinatakiwa zikemewe kwa nguvu zote.
 
Huo ndiyo utamu wa Maji ya Bendera ya SISIEMU. Matamshi ya Bashe sijui Basha hayatofautiana sana na Mbatia. Sioni faida ya kumtetea fisadi kwa Tanzania ya LEO. Watanzania tumeamka, sio wakati ule wa zidumu fikra za Mwenyekigoda.

Mimi ningekuwa na uwezo hicho chama ningekifutilia mbali manake hakina sera mbadala na chama tawala, ni matumizi mabaya ya rasilimali. Kuna ubaya gani kwa yeye (mbatia) kurudi sisiemu tukajua moja?
 
Ukifatilia kwa makini watu wanaoshabikia chama cha machizi ni machizifulani, wezi wa mali ya umma, wavivu na wazembe wa fikra, waoga, bendera fata upepo n.k n.k. Maana inashangaza, wakati watu wengi wenye kima cha maarifa wanaona kuna kasoro mahali fulani, wao wanatanua misuri ya shingo kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa hali ni shwari. Ole wenu mbuni nyie mzaniao mmejificha mwili mzima kwa kufukia kichwa pekee mchangani, siku ikifika tutawaokota mmojammoja na msiseme mumeonewa.
Maana mtenda akitendwa huhisi kaonewa. Namwomba Mungu awape uhai mlefu ili wakabiliane na nguvu ya umma hapa hapa chini ya jua, na hilo wanalihofia sana.
 
Siku mkapa aklitinga mahakamani nchi itatikisika na nakuhakikishia halitakuja kutokea

Mzee wa masters!

kwa mawazo yako haya ya kipumbavu kabisa sitashangaa sana kama na wewe utakuwa ni mmoja wapo wa watu wanaotafuta mifupa ya albino il eti iweze kuwaletea vyeo na utajiri na kwa wewe another masters. Acha kutishia paka nyau

Si ulikuwa na picha ya mkapa hapo juu irudishe
 
Mmh, makubwa.
 
Tatizo la viongozi wengi wa Tanzania wamekosa wisdom na descipline; and further more they are full of selfishness! Sasa wanachofanya ni kuwazugazuga tuu Watanzania, while wanajaza matumbo yao na kujilimbikizia mali, zingine hata hawazihitaji. Sasa mfano mzuri ndio huyu Hussein. Kitu kizuri ni kuwa Watanzania wa sasa si mambumbumbu tena, maana wanaelewa reality; what's happening.
 
Mkuu hayo uliyoongea hapo ni kweli tupu. Wanakula wanasahau Boss wao aliyewaweka hapo (WANANCHI) wanaendelea kuwa maskini.
 
- Mkulu wangu Indume Yene, hapa tupo ukurasa mmoja hivi huyu jamaa Bashe kumbe naye ni wale wale? Ina maana huyu ni mtu wa Nchimbi/Lowassa nini?

- Hawa watu atulie kama wananyolewa la Mkapa kutinga Kisutu halina mjadala tena it is about time, yaani uwapeleke rumande Yona, Mramba, na Mgonja bila ya Mkapa, hiyo itakua ni sheria au Ze-comedy?

Mkuu sasa tupo sawa....
Ila Amini usiamini Tanzania ni nchi ambayo yote yanawezekana...mazuri au mabaya.Hao jamaa wanaweza wakahukumiwa na mstaafu akaendelea kudunda.Kama tunajali rule of law where CONSTITUTION IS GRUND NORM then we could have not waited for Mr President Go ahead to sue EPA suspects...Still WIZI MTUPU.
 
NA huyo Bashe ndiyo mvivu wa kufikiri kuliko watanzania wote....
 
NA huyo Bashe ndiyo mvivu wa kufikiri kuliko watanzania wote....

Wana JF tusiumize vichwa kuhusu huyu kijana Bashe,
Ni kijana mdogo, hajasoma sawasawa lakini ana haraka kuwa Mbunge na Waziri kipindi cha pili cha Serikali ya JK. Huyu kijana ni "mtoto" wa kulelewa kisiasa na fisadi Rostam Aziz na shogake Lowassa. Ana kazi moja tu: kupiga kelele sana sasa hivi ili ajulikane kuwa "mwanamtandao original" ambaye kapewa kazi ya kumwondoa ubunge Mhe. Lucas Selelii wa Nzega. Mafisadi wamemchangia fedha nyingi sana kwa kazi hii. Wananchi wa Nzega wataila vizuri lakini anaweza asichaguliwe; wakaamua kuendelea na shujaa Selelii badala ya halfcast wa kisomali na kiajemi mwenye fedha chafu, vyeti feki kama vya akina Nchimbi, Kamala, Makongoro na Nagu.
 
Nammini wana Nzega walishatambua hilo na wanajua Seleli ni shujaa ambaye hatatikiswa na hizo pesa za fisadiz. Utamu wa uongozi ni pale wananchi wanapokuunga mkono katika shughuli zako. Fisadiz watamwaga pesa sana kumuondoa, na kama SISIEMU ikicheza mchezo mchafu wa kutorudisha jina lake basi wajue na jimbo linaondoka kwa KISIGINO.
 
Back
Top Bottom