Utamu wa Mjeda

Utamu wa Mjeda

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,166
Reaction score
3,077
Ngoja nianze na kuwapa hongera na pole ya purukushani za siku ya leo maana hii siku ilikua na mambo mengi sana.mara kupatwa kwa jua mara JWTZ wanafanya usafi na wale ambao walikua mbali na vyombo vya habari bado walikua wanauwazia UKUTA.

Wiki iliyopita katika mihangaiko yangu ya kutafuta riziki yangu ya kila siku maana muheshimiwa kasema hakuna pesa ya bure, lazima tufanye kazi. Basi katika pita pita zangu nkakutana na mdada ambaye niliwahi kumtongoza na tukawa wapenzi lakini kutokana na mazingira sikuwahi kupata mgegedo wake. Tulidumu nae kwa kipindi kisichizidi miezi miwili na tukapotezana kabisa.

Baada ya kukutana tukapiga story nyingi sana na tukakumbushiana enzi hizo, tukaachiana namba kwa ajili ya mawasiliano, baada ya kuachana sikulaza damu, nilipofika nyumbani nikamcheki na nikamuomba mgegedo ambao sikupata kipindi kile,hakuleta matata sana akasema poa.

Wikend ndio tukakubaliana mgegedo ufanyike, ila leo kazini nmetoka mapema sana. Nimerud nyumbani umeme wenyewe hamna nkaona ngoja nijaribu bahati yangu,nikamcheki mtoto mzuri akasema ndio anatoka kazini ila atarud tena,nikamuomba apite kwanza nyumbani ndio aende kwake,akasema poa na wakati yupo njiani anakuja nikawa nampa ndogo ndogo ili akifika nyumbani mambo yasiwe magumu sana.

Ile mtu anashuka kwenye boda boda mwili wote ukafa ganzi,mtu yupo ndani ya kombati,chin buti sijui kilo mbili,shati ndio balaaa hata kifua hakionekani,ikabidi nijikaze tu asije akashtuka maana kiukweli sijawahi kuwaza kumtafuna mjeda,ikabidi nimkaribishe mpaka ndani.kufika ndani sasa kidume mawazo na kihofu kwa mbaliiii kinaninyemelea

nikapiga mahesabu yakawa hayaendi,hata kumshika tu nkawa naogopa,ikabidi niende kuoga japo nlitoka bafuni kabla ya yeye kufika,nlipotoka nikamuomba naye akaoge,bwanaeeee si akakubali,ikabid nimpe taulo pale,ile migwanda akatundika ukutani,hapo ndipo nlipoanza kuona mjeda alivyokatika kwenye idara mahususi.alivyoingia bafuni ikabid nipige ishara ya msalaba kabisa maana hapo hofu yote ikapotea .

najua nawasimulia kitu mnachokijua ila uyu mjeda ni mtamu acheni tu ,mjeda mtamu aisee,alivyorud ndani tu kilihofuata acheni tu,huko jeshini sijui kuna somo wanapewa la ziada maana dah mjeda mtamu nyie.maishan sikuwah kufikiria kama ntakuja kuchojoa gwanda japa anamasharti kushika minguo yao ile.
.........................MJEDA MTAMU
 
Hongera mkuu basi Ni huyo tu.me nilisha wabahatisha kama wa3 hv ila hamna kitu hata joto hawana.

Embu nitumie nambar zake nimuulize tatizo nini (jok)
 
Hongera mkuu basi Ni huyo tu.me nilisha wabahatisha kama wa3 hv ila hamna kitu hata joto hawana.

Embu nitumie nambar zake nimuulize tatizo nini (jok)
Duh mimi nazani huyu ndio wa mwisho,ila kuna jamaa yangu amewatafuna kadhaa naye analalamika wamekomaa na hawana joto,ila uyu wangu mtamu aiseee
 
Ngoja nianze na kuwapa hongera na pole ya purukushani za siku ya leo maana hii siku ilikua na mambo mengi sana.mara kupatwa kwa jua mara jwtz wanafanya usafi na wale ambao walikua mbali na vyombo vya habari bado walikua wanauwazia UKUTA.

wiki iliyopita katika mihangaiko yangu ya kutafuta ridhiki yangu ya kila siku maana muheshimiwa kasema hakuna pesa ya bure,lazima tufanye kazi.basi katika pita pita zangu nkakutana na mdada ambaye nliwahi kumtongoza na tukawa wapenzi lakini kutokana na mazingira sikuwahi kupata mgegedo wake.tulidumu nae kwa kipindi kisichizidi miezi miwili na tukapotezana kabisa.

baada ya kukutana tukapiga story nyingi sana na tukakumbushiana enzi hizo,tukaachiana namba kwa ajili ya mawasiliano,baada ya kuachana sikulaza damu,nlipofika nyumbani nikamcheki na nikamuomba mgegedo ambao sikupata kipindi kile,hakuleta matata sana akasema poa

wikend ndio tukakubaliana mgegedo ufanyike,ila leo kazini nmetoka mapema sana,nmerud nyumbani umeme wenyewe hamna nkaona ngoja nijaribu bahati yangu,nikamcheki mtoto mzuri akasema ndio anatoka kazini ila atarud tena,nikamuomba apite kwanza nyumbani ndio aende kwake,akasema poa na wakati yupo njiani anakuja nikawa nampa ndogo ndogo ili akifika nyumbani mambo yasiwe magumu sana.

ile mtu anashuka kwenye boda boda mwili wote ukafa ganzi,mtu yupo ndani ya kombati,chin buti sijui kilo mbili,shati ndio balaaa hata kifua hakionekani,ikabidi nijikaze tu asije akashtuka maana kiukweli sijawahi kuwaza kumtafuna mjeda,ikabidi nimkaribishe mpaka ndani.kufika ndani sasa kidume mawazo na kihofu kwa mbaliiii kinaninyemelea

nikapiga mahesabu yakawa hayaendi,hata kumshika tu nkawa naogopa,ikabidi niende kuoga japo nlitoka bafuni kabla ya yeye kufika,nlipotoka nikamuomba naye akaoge,bwanaeeee si akakubali,ikabid nimpe taulo pale,ile migwanda akatundika ukutani,hapo ndipo nlipoanza kuona mjeda alivyokatika kwenye idara mahususi.alivyoingia bafuni ikabid nipige ishara ya msalaba kabisa maana hapo hofu yote ikapotea .

najua nawasimulia kitu mnachokijua ila uyu mjeda ni mtamu acheni tu ,mjeda mtamu aisee,alivyorud ndani tu kilihofuata acheni tu,huko jeshini sijui kuna somo wanapewa la ziada maana dah mjeda mtamu nyie.maishan sikuwah kufikiria kama ntakuja kuchojoa gwanda japa anamasharti kushika minguo yao ile.
.........................MJEDA MTAMU
Big up mwandishi/mtunzi. . . Story nzuri
 
Haya Shaaban Robert umejitahid kutuandalia stor yako
[HASHTAG]#kufikirika[/HASHTAG]
 
Uzuri yuko humu. Kumbe hawa jamaa waendelee kutupiga MITAMA tu. Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom