Utamu wa picha, macho yako

Utamu wa picha, macho yako

FB_IMG_16025950271493457.jpg
 
Kivipi hebu fafanua
Picha mbona inajieleza.

Uoni kabla ya kuingia gerezani kidoti kili upende wake wa kushoto, ila mda anatoka gerezani et kidoti kimeamia uoende mwingne tena
 
Hamna conspiracy hapo,hiyo ni fizikia ya kidato Cha tatu tu,tumia kioo Cha kujiangaria,Mirror,unaweza ukacheza hizo trreflection inabadilisha mpaka

Hamna conspiracy hapo,hiyo ni fizikia ya kidato Cha tatu tu,tumia kioo Cha kujiangaria,Mirror,unaweza ukacheza hizo tricks
Reflection inaacha mustach,inabadilisha kijana aonekane mzee
 
Picha mbona inajieleza.

Uoni kabla ya kuingia gerezani kidoti kili upende wake wa kushoto, ila mda anatoka gerezani et kidoti kimeamia uoende mwingne tena
Hizo ni picha zilizotumia mkanda(negative) kwahiyo inategemea wakati wa kusafishwa iliwekwaje
 
Back
Top Bottom