Utamu wa tunda la kati - Part 1: Nilivyolia kama mtoto mdogo

Utamu wa tunda la kati - Part 1: Nilivyolia kama mtoto mdogo

Aje tuuu maana naweza zidiwa nikaanza kupigia simu ma ex...

Kesho jpili nakuja. Si utapika pilau as usually
Hapana, ngoja aje nimekutumia namba yake.
Kama unakuja napika pilau, kama huji namsongea baba yako ugali mgumu maana amenikera.
 
Mbona hiyo hatareeee..
Na mi najua ww ukinyimwa upatani na mtu unakuaga na hasira mbaya mama...

Wee unataka kama dozi sio
Yani nikinyimwa au nisichakatwe vizuri, unanijua nakua na hasira hasira tu hazieleweki 🤣

Eeenhen nataka kama dozi, kuna kijana humu Shyshka Reinhardt ananijulia, ataanza kumsaidia baba yako.
 
Back
Top Bottom