Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #241
Ni story yangu mwenyewe.Hii ni story yako au hadithi za mitandao humu kuna watu wanauwezo wakwenda hoteli za gharama??
Kwani wewe hujawahi kupelekwa hoteli ya gharama?
Khaaah 🤣 🤣 🤣 ngoja waje na makasiriko yao wakuchambe.Eti?? Binti wa zamani ,?? waifu material upo sahihi wengi wa humu daladala au ist umpate rijali humu watakuwa wamehongwa viagra za bure na ccm siunajua uchaguzi