Utamu wa tunda la kati - Part 3: nani alivunja rekodi yako ya raha?

Utamu wa tunda la kati - Part 3: nani alivunja rekodi yako ya raha?

Muendelezo wa simulizi za maisha yangu ya ujanani na mapenzi.

Leo acha niwasimulie kuhusu kijana aliyevunja rekodi zangu za raha, akanivuruga kidogo nichanganyikiwe - pia nakujibu
swali lako @ 26 Life


*******


Pita pita huku na kule nikakutana na huyo mkaka, nikamdate na ndiyo akawa boyfriend wangu wa mwisho kabla ya ndoa.

Huyu kaka tulikua taaluma moja, na yeye alikua amemaliza chuo miaka si mingi, tukabond kwenye kusaidiana mambo ya kazi na maisha mpaka tukawa wapenzi, tumuite Henry (si jina halisi).

Tofauti na mimi binti niliyechangamka, yeye alikua mpole, hatumii kilevi cha aina yoyote na ana hofu ya Mungu (yani yule mtu wa kusali sali, kila siku usiku anapiga simu tuombe kabla ya kulala). Tukawa pamoja kwenye mahusiano miezi kama 3 bila kufanya mapenzi, ila alikua ananijali na romantic kuliko mwanaume mwingine yoyote niliyewahi kudate.

Basi nakumbuka ilikua April kukawa kuna sikukuu inaangukia jumatatu na jumanne, akasuggest tusafiri pamoja twende Bagamoyo kupumzika, nikakubali. Ijumaa imefika, nimetoka kazini, akaja kunipitia hao mpaka Bagamoyo.

Tumefika hotelini kama saa moja hivi usiku, tukaweka mizigo chumbani halafu tukaenda kupata chakula cha jioni, then tukarudi chumbani.

MUDA WA MAANGAMIZI:

Tumeingia tu chumbani, mlangoni Henry akaniambia babe, kuanzia sasa wewe ni mtoto wangu na ni kazi yangu kukufanyia kila kitu, akanikalisha kitandani. Nikajisemea eenheee, leoooooooooo [emoji1786][emoji28][emoji1] sijui itakuwaje.

Akaanza kunitoa sendo nilizokua nimevaa, akaja kwenye gauni akaninyanyua akalitoa, ikaja bra, kyupi nikabaki mtupuuu halafu akaninyanyua akanilaza kitandani na yeye akavua nguo zake akaja. Alivyopanda kitandani akanikumbatia ile tu amegusa mwili wangu nikasikia lile joto la mwili wake, mwili wote ukasisimka na papuchi nayo kama ikmeshusha pumzi hivi (wanawake mnajua vile kipochi manyoya huwa kinafanya kikiamshwa [emoji85][emoji16])

Akaanza kunikiss, huku mikono inatembea kifuani baadaye akashuka na mdomo shingoni - network zikaanza kukata, akaendelea kushuka kifuani kayabugia madodo, moja anafyonza jingine anaminya huku anapekecha. Akili ikawa isharuka, nikaanza kumvuta anipandilie, maana nilikua tayari naitaka.

Taratibu akanitoa mikono akasema hapana babe bado, basi akashuka huko chini, akaanza kupiga deki halafu akawa anakisugua kile kiharage na [emoji104][emoji104], then akazamisha kidole kimoja kwa papuchi akawa kama anakikandamiza kile kiharage kwa ndani huku anakisugua, dakika si nyingi nikasikia kamvua hako kanakuja :uwotWater:, nikamwaga. Akaendelea kufyonza fyonza kwa dakika kadhaa halafu akaja juu, akaanza kulipitisha rungu lake juu ya papuchi huku anaipiga piga; nikaanza kumuomba “Henry mpenzi naomba uniwekee” yeye akawa anaipitisha hapo juu juu, huku ananiongelesha sikioni, hata sielewi anachosema.

Nikazidiwa, nikalishika rungu nikaliingiza mwenyewe, Henry akanyanyua kichwa akanitazama halafu akalichomoa rungu akasema “nimekwambia wewe ni mtoto na mimi ndiyo nakufanyia ninachotaka kwanini umejiwekea?” Akanishika mikono akaibana nyuma ya kichwa huku ananiangalia usoni, na mimi nimelegea hoiiii, akaanza tena kunipitisha rungu juu, nalipiga piga halafu anaweka juu juu anatoa halafu anaparaza tena mpaka kwenye mashavu ya K.

Alivyoniweka yote, nilipiga kelele, ile chomeka chomoa kama mara tano tu nikamwaga cha pili :uwotWater: . Baada ya hapo Henry alinichapa kama lisaa hivi, anaipiga taratibu, halafu haraka haraka huku ananiyonya shingoni, kifuani mpaka ananifikisha kibo, nikishafika :uwotWater: anastop anatulia huku ananikiss, ananiambia namna ananipenda, anasema asante kuwa nampa papuchi yangu halafu anaanza kuendelea tena taratibu kuichapa [emoji527], then anakoleza spidi. Nlihesabu kumwaga mara 5 mpaka akili ya kuhesabu ikakata. Baada ya ile mechi kitandani pameloa na sikuweza kusimama kwenda chooni, miguu haina ngivu na mkojo umenibana hatari.

Basi akanibeba, akanipeleka chooni, nilivyomaliza akanipeleka bafuni, akanikalisha kwenye [emoji370], akaniogesha, akanibeba tena akanirudisha chumbani, nikawekwa kwenye kochi akashughulikia habari ya kuita room service kubadilisha matandiko, asubuhi nilijikuta tu nimelala kitandani wala sikujua nimetolewa muda gani kwenye kochi.

Weekend hiyo, tulipeana utamu kwa siku nne nonstop tukitoka ni kwenda kula tu.
Somo la hii story "Vijana walokole - OGOPA SANA".

Henry alivunja hiyo rekodi ya huba, mahaba, raha, utamu, dominance ya kutake control kiume na kunifanya nijisikie mwanamke ninayependwa haswaaaaa! Kama yumo humu atajijua tu [emoji28] [emoji28] uendelee kubarikiwa, usije kupungukiwa popote, wewe ni mtu wa maana sana.


Ni hayo tu, vipi wewe, nani alivunja rekodi yako?
Kuna binti mmoja anafanya kazi Oman tumefahamiana karibia miaka 10 now akija yule kwenye show kila kitu analipia mwenyewe akirudi ana ugwadu naichapa mpaka inachanganyikiwa .

Sasa kuna siku karudi tukaingia hotel mpaka asubuh yule demu ni kama wale wacheza pornography analia ukinyonya ziwa tu anatoa miguno mimi nipo kwenye maziwa yeye anaramba koni kama kibogoyo nikaichomeka ilibidi nimzibe mdomo maana alivyokuwa analia sio kawaida ndio mwanamke ambaye mpaka leo kumbukumbu zake hazijafutika kwenye kichwa changu alikuwa fundi sio mchezo nimekumbuka anakaribia kurudi nitaleta tena mrejesho .
Kuna wanawake watamu nyie acheni wanawake weupe wote peponi.
 
Wanasemaga wanaunganisha 😂😂
Kuunganisha 5 🙄😳 si mchezo ujue, nisikatae kila mtu na uwezo wake.

Kwa experience yangu, naweza unga, 2 mpaka 3 kutoka na uwezo wa kuhimili mwenzangu,
Interval ya goli la kwanza na la pili, kisha uje la 3, hapo sio mchezo ujue takribani lisaa na nusu mpaka la pili, kutegemea na nyege,mashamsham na utamu wa timu pinzani.
Mara nyingi mie huwa ni 2, la 3 mtaishia njiani mpinzani karusha taulo, apumzike ama ukiforce mpaka la 3 lije hulu upande wa pili hoi

Sada anaekojoa 5 kwa mpando mmoja bila kupumzika inategemea na interval yake ya kukojoa baina ya goli na goli, maana Dah 😂🤣🤣, ni kipengele.
Ila usiwapinge sababu kila mmoja na uwezo wake.

Hata nyinyi wanawake mpo wa sampuli tofauti tofauti haswa linapokuja suala la kukojoa na KUGEGEDANA, kuna Wengine wepesi kukojoa, wengine akikojoa 1 anataka apumzike mpaka umuandae tena, wengine wana pulling ya kutosha, mapafu ya mbwa, wengine goi goi, we umemuandaa kidogo kaishakojoa 3, we unakojoa moja ye kazipata 7 huko,
wengine shughuli pevu una 2 na yeye 2 ama 4 tu.. sampuli tofauti tofauti.
 
Zaidi ya hapo ni kuji tafutia nuksi na mikosi

giphy-downsized 4.GIF
 
Back
Top Bottom