Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Asitupige na kitu kizito bhana, mwanamke hajawahi penda mtu asiyemkojoza sema anakaa na jamaa kupata unafuu wa maisha tu. Eti nampenda sitaki kumuudhi.
Huyu alipenda kweli
 
Turudi kwa huyo mwanaume wake, nataman kupata namba yake. Nijue namna ya kumsaidia
 
mueleze tu akikuweka style gani wajiskia kukaribia huko kilelele, kisha mwambie asitooe mzigo akupigilie humohumo sasa kwa mgandamizo na msuguo wa kilo hadi akufukishe huko kwenye peak unapopataka.
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Tatizo kachelewa sana kusema,mwaka mzima hakufikishi ndio uje useme ,atamuoma mnafiki sana.....
Ila kutofika kileleni kileleni kunaleta unyonge sana......na wanaume ukimwambia tu hakufikishi au umwelekeze akushike hapa lazima anune na akuache in the name of malaya
 
Hata Mimi najikutaga tu nimeuliza Hilo swali🤦
 
Yes!
 
Sema ni wewe hapo hujawahi fika kileleni namba zangu hizi hapa au sikia nipm chap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…