Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Wadau habar za asubuhi, niwatie moyo katika shughuli zenu za ujenzi wa taifa na wale mlioko kwenye harakati za kutafuta mkate wenu wa kila siku, one day yes mtatoboa tuu, endeleeni kupambana bila kukata tamaa..Kwa waajiriwa pia, usiache kumtumikia kafiri ili upate ujira wako.
Habari hii ni matukio wawili yaliotokea like a month ago kwa kufuatana na yalihusisha mafunzo ya kujengana tuu kiimani kwa njia ya semina. Niweke wazi tu kuwa mimi ni muumini katika makanisa ya kilokole ( sio haya makanisa ya mwendokasi,hapana.Ni haya rasmi ya Assemblies).
Sasa kipindi kile cha pasaka tulikua na semina ya wiki 1 kanisani na iliendeshwa na mchungaji mgeni kutoka mji mwingine kabisaa.Na nilipata fursa ya kuhudhuria kama siku 3 hivi ,J5,Alh na Ijumaa jioni.Ilikua semina nzuri sana.
Sasa bwana katika kufundishana hapa na pale mchungaji akajikuta amegusikia kipengele cha maadili na specifically masuala ya kutazama picha chafu za ngono.😁😁 .Basi katika maelekezo mafupi ya ku discourage utazamaji wa picha hizo na madhara yake KIROHO , mwishoni akauliza:
Mchungaji: "humu ndani ni nani ameshawahi kutazama picha za ngono?, anyooshe mkono juu"
Kanisa: (kimyaaa watu wanatazama chini).Hata mimi sikunyoosha ila nishatazama sana.
Mchungaji: "Jamani mbona kimya, au sijaeleweka, basi ngoja niulize swali lingine.Ni wangapi HAWAJAWAHI kutazama picha za ngono?"
Kanisa: (kimyaaa, hakuna alienyoosha mkono)kwakwel hapa nikashindwa kujizuia nikaangua kicheko maana mchungji alituweza..
Anyway, hilo nalo likapita.Ila kwakwel hata mke wangu hakunyoosha popote pale ingawa nimekuaga na uhakika yeye mambo hajawah kufanya kwa navyomjua..ila pale nikapata kitu flan 😂😂😂😂
TUKIO LILILOFUTA,
Basi bwana, Baada ya week kama 2 hiv kanisa likaandaa semina ya wana ndoa.Hapa ndio nilichoka.Maana honestly, sikuwah kuhudhuria aina hizi za semina japo nimeoa nina 8 years sasa kwenye ndoa.
Kwenye hii semina mambo mengi huwa yananenwa wazi tu bila kufichwa ukizingatia wote ni wanandoa..
Pastor alipokuja kuniua sasa ninpale aliposema," wapendwa naomba msiwe mnafanya yote kama wanavyofanyaga wale kwenye video, wale SIJUI HUWA WANA MAPEPO?" 😆😆😆😆😆
Kichwan nika conclude ohoooo...kumbe Pastor nae hiz mambo anazijua 😂😂😂😂
Nikakumbuka ule msemo kuwa Njia ya Mbinguni ni Nyembamba sana.😎😎
Ikawe heri kwenu...