Naomba kufahamu ugongwa huu unaitwaje maana ni muda sasa nimesumbuka nao bila majibu au tiba yake. Mwaka 2005 kulitoke ghafla mabaka meusi sana usoni pia pakatokea utando mweupe kwenye ulimi suala ambalo lilipekea kuhisi kichefuchefu na kutema mate mara kwa Mara au kila wakati na hivyo kupata shida sana kujumuika na watu wengine kwenye masuala ya kijamii. Hata hivyo ikumbukwe kuwa hadi sasa bado tarizo ngozi, utando, pamoja na kichefuchefu wakati mimi ni mwanaume wa takribani 30s miaka.
Tafadhari wajuzi na weledi wa tiba za binadamu
ULIMI UNAWEZA KUONYESHA DALILI ZA KISONONO ,FANGASI ,HOMA NA SARATANI..
1.Fangasi ni tatizo linalo develop taratibu kwa muda mrefu (chronic infection) sio muda I mfupi (Acute infection.)
Kwa macho yako wewe huwezi kutoa conclusion kuwa hizo ni fangasi hivyo aonane na daktari. Yawezekana ni Human Simplex Virus (HSV2) ambao ni very common.
Kama ni fangasi more likely ni CANDIDA ABLICANS
Mdomoni mwa binadamu kwa kawaida huwa kuna bacteria pamoja na fangasi ambao hawana madhara( Normal Flora) na wanakuwa katika uwiano ambao uko balanced. Kinga ya mwili pamoja na bacteria vinajukumu la kuhakikisha hao fangasi hawakui wengi kupitiliza kiwango kinacho takiwa.
Mambo yanayo punguza kiwango cha normal flora bacteria au Kinga ya mwili kupungua vinapelekea hawa fangasi kuongezeka kwa wingi mdomoni kupita kiwango. Hapo ndipo mtu anapata fangasi wa mdomoni kitaalamu ORAL CANDIDIASIS.
Mambo yanayo punguza kinga ya mwili ni kama vile 1. HIV/Aids 2. Kisukari 3.kansa 4.matumizi ya dawa za Kansa. 5. Matumizi ya steroids drugs. 6. Watoto kinga iko chini. Watu hawa wako kwenye risk ya kupata Oral candidiasis
Matumizi ya muda mrefu ya Antibiotics kama vile Amoxcilin, penicillin nk huwauwa bacteria nakupelekea kupungua kwa normal flora bacteria na kusababisha overgrowth ya Fangasi.
Dalili, unapata vitu kama ukoko kwenye ulimi au kuta za mdomo ambavyo ukisugua na mswaki havitoki( ORAL THRUSH). Ulimi kuwasha na wakatimwingine vibalango vidogo kwenye ulimi pembeni.
.
MATIBABU: mpaka tujiridhishe kama kweli hizo ni fangasi. Dawa sio pipi epuka matumizi yasiyo sahihi au lazima ya dawa. Miili yetu Isiwe sehemu ya majaribio ya dawa mtu akikushauri jaribu hii na ww unajaribu kweli.
Tiba ninayo ukihitaji nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya
pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.
Mzizi Mkavu