Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha unampa moyo mkuu,Ukimwi siku hizi kama hela kila mtu hana. Ahahaha!
But najua mtoa mada hana HIV maana alishapima na akaambiwa negative watu wameunganisha mouth ulcers na HIV though kuna relation ila sio kila mouth ulcers ni HIV zingine ni addition and other intestinal diseases.
So mtoa mada vumilia madongo tu.
Pole mkuu! Punguza matumizi ya vyakula vyenye sukari nyingi! Nakushauri ukacheck sukari pia kwani ikiwa nyingi inasababisha fungal outgrowth kwenye kinywa hasa ulimiNaomba kufahamu ugongwa huu unaitwaje maana ni muda sasa nimesumbuka nao bila majibu au tiba yake. Mwaka 2005 kulitoke ghafla mabaka meusi sana usoni pia pakatokea utando mweupe kwenye ulimi suala ambalo lilipekea kuhisi kichefuchefu na kutema mate mara kwa Mara au kila wakati na hivyo kupata shida sana kujumuika na watu wengine kwenye masuala ya kijamii. Hata hivyo ikumbukwe kuwa hadi sasa bado tarizo ngozi, utando, pamoja na kichefuchefu wakati mimi ni mwanaume wa takribani 30s miaka.
Tafadhari wajuzi na weledi wa tiba za binadamu
Alafu ww ndo unayejiitaa servant of God .....daah ni bora utende dhambi ukiwa hujui kama unafanya dhambi kuliko kufanya dhambi while unajuaa kuwa unachofanya ni dhambi .......boy stay on ur lane ...maneno yako yafanane na matendo yako how can u say kuwa umesurrender maisha yako kwa Mungu while unawajibu wenzio majibu kama hayo???Nalipiza mkuu nilifanyiwa hvo mwaka 2016 sitakaa nisahau ..
Ndugu yangu maneno na matendo hayo siyafanyii JF. Jf humu waigizaji tu mtu anajifanya msataarabu kumbeeAlafu ww ndo unayejiitaa servant of God .....daah ni bora utende dhambi ukiwa hujui kama unafanya dhambi kuliko kufanya dhambi while unajuaa kuwa unachofanya ni dhambi .......boy stay on ur lane ...maneno yako yafanane na matendo yako how can u say kuwa umesurrender maisha yako kwa Mungu while unawajibu wenzio majibu kama hayo???
JITAFAKARI MUNGU HACHEZEWI!!!
Situmii sigara, ugoro na kilevi chochoteMkuu nenda kacheki biopsy huenda ikawa kansa ya ulimi, ukiwahi inapona.. vp sigara au ugoro hutumii?
We mzee si ulisema unakufa week iliyopita kumbe bado unadunda duuh...Ndugu yangu maneno na matendo hayo siyafanyii JF. Jf humu waigizaji tu mtu anajifanya msataarabu kumbee
Wengi niliokutana nao wa humu wanaweza kukueleza mm ni nani!!!
Naomba kufahamu ugongwa huu unaitwaje maana ni muda sasa nimesumbuka nao bila majibu au tiba yake. Mwaka 2005 kulitoke ghafla mabaka meusi sana usoni pia pakatokea utando mweupe kwenye ulimi suala ambalo lilipekea kuhisi kichefuchefu na kutema mate mara kwa Mara au kila wakati na hivyo kupata shida sana kujumuika na watu wengine kwenye masuala ya kijamii. Hata hivyo ikumbukwe kuwa hadi sasa bado tarizo ngozi, utando, pamoja na kichefuchefu wakati mimi ni mwanaume wa takribani 30s miaka.
Tafadhari wajuzi na weledi wa tiba za binadamu
Mmmh rekebisha kauli yakoUkimwi huo usisumbuke kaanze dozi